22
Jinsi ya kufanya tafiti ya kuvutia ukiwa chuoni
Na Michael Anderson Nikizungumza kuhusiana na kufanya tafiti ‘research’ kwa wanafunzi wa chuo si jambo geni kabisa, mara nyingi hupewa wanafunzi wanaokaribia kuhit...
22
Mambo yatakayofanya uipende kazi yako
Na Aisha Lungato Kuna uhusiano mkubwa kati ya furaha na utendani wako wa kazi, unapofurahia kazi yako unayofanya kuna uwezekano mkubwa wa wewe kuzalisha zaidi kutokana na kuwa...
22
Mwanariadha wa Kenya atunukia cheti na Guinness
Mwanariadha kutoka nchini Kenya aitwaye Peres Jepchirchir amevunja rekodi ya dunia ya ‘Guinness World Record’ kwa upande wa wanawake kwa kukimbia mbio ndefu za Lon...
22
Viatu vitavyoongeza muonekano wa vazi lako
Na Asha Charles Kawaida fashion hubebwa na muoneano, kuanzia juu mpaka chini yaani mavazi, nywele, viatu na hata harufu ya muhusika. Wapo ambao hujikuta wakiharibu muonekano w...
22
Chachi boi anayekimbiza bongo movie
Church boy anayekimbiza kwenye Bongo Movie, hivi ndivyo tunaweza kumuita mwigizaji Isarito Mwakalindile ambaye safari yake kwenye tasnia ya uigizaji ilianzia kanisani katika m...
22
Man United wafanya maamuzi ya kumfukuza Ten Hag
Imeripotiwa kuwa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited tayari wameshafanya maamuzi juu ya ‘kocha’ wao  Erik ten Hag' ambapo atafukuzwa kazi hata kama watas...
22
Magauni yenye gharama zaidi duniani lipo la 77 bilioni
Haya ndiyo magauni yenye gharama zaidi duniani. Vipi unaweza kununua au tukuache na nguo zako za kariakoo? 1.Nightingale ya Kuala Lumpur yenye gharama ya dola 30 milioni sawa ...
22
CAF waomba radhi baada ya Berkane kususia mechi
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limeomba radhi wadau wa soka baada ya mechi ya kwanza ya nusu fainali ya mashindano ya kombe la shirikisho kutofanyika baada ya ‘klabu&rs...
22
Wasanii wajitokeza kumuaga Gardner
Wasanii mbalimbali wamejitokeza katika viwanja vya Leaders Club leo Aprili 22,2024, kumuaga marehemu Gardner Habash aliyekuwa mtangazaji wa Clouds Media katika kipindi cha Jah...
22
Ahmed Ally: Simba kama dhahabu ya moto
Siku moja baada ya kipigo cha pili mfululizo kutoka kwa ‘klabu’ ya #Yanga, Meneja habari na mawasiliano wa ‘klabu’ ya #Simba #AhmedAlly ameibuka kuwati...
22
Hakuna kinachodumu duniani
Muziki wa sasa unaisha utamu haraka. Kama ambavyo uhusiano wa sasa unavyoisha haraka kwa wapendanao. Utandawazi umekuja na faida kubwa sambamba na ukubwa wa matatizo. Zari ali...
21
Utafiti: Wanandoa wasiotumia mitandao ndio wenye furaha zaidi
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na Chuo Kikuu cha Kansas unaeleza kuwa wanandoa ambao hawajihusishi sana na mitandao ya kijamii huwa na furaha zaidi kuliko wanaojihusisha na...
21
Avunja rekodi ya kucheza Chess kwa saa 60
Bingwa wa mchezo wa chess kutoka nchini Nigeria, Tunde Onakoya ameingia kwenye vichwa vya habari baada ya kuvunja rekodi ya kucheza chess kwa saa 60 mfululizo mchezo uliyochez...
21
Kinywaji bure kama utaacha simu kwa muhudumu
Mgahawa maarufu kutoka nchini Italia uitwao ‘Al Condominio’ umekuja na mpango kabambe wa kuzuia wateja wake kutotumia simu wakati wa kula ambapo wametoa ofa ya kuw...

Latest Post