Hakuna kinachodumu duniani

Hakuna kinachodumu duniani

Muziki wa sasa unaisha utamu haraka. Kama ambavyo uhusiano wa sasa unavyoisha haraka kwa wapendanao. Utandawazi umekuja na faida kubwa sambamba na ukubwa wa matatizo.

Zari alikutana ghafla kwenye ndege na Mondi. Wakapendana ghafla. Wakapata watoto ghafla. Wakaachana ghafla. Siyo sanaa tu.

Ukifuatilia sana kila kitu hakidumu dunia ya sasa. Jiulize kutoka Yahoo Messenger mpaka TikTok ni muda gani umepita? Achana na mambo ya kudumu dumu dunia hii.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Christina Lucas


Latest Post

Latest Tags