Man United wafanya maamuzi ya kumfukuza Ten Hag

Man United wafanya maamuzi ya kumfukuza Ten Hag

Imeripotiwa kuwa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited tayari wameshafanya maamuzi juu ya ‘kocha’ wao  Erik ten Hag' ambapo atafukuzwa kazi hata kama watashinda Kombe la FA.

 Kwa mujibu wa Daily Mail News imeeleza kuwa ‘kocha’ huyo atafukuzwa kwa sababu mbili kubwa kwa kukosa nafasi ya kufuzu ‘ligi’ ya mabingwa Ulaya, na kushindwa kuchukua kombe la Carabao ‘klabuni hapo.

Kocha huyo mwenye umri wa miaka 54 alianza kukitumikia kikosi cha #ManchesterUnited toka mwaka 2022 akitokea katika ‘timu’ ya #Ajax..
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags