Mambo ni moto mambo ni fire leo kwenye gumzo mitamdaoni bwana kumewaka, Staa wa muziki nchini Tanzania Linex Sunday maarufu kama Mjeda amemtolea uvivu msanii mwenzie Bab...
Na Aisha Lungato
I hope uko good mwanangu sana, leo bwana kwenye gumzo mitandaoni waswahili wanasema kimeumaa, staa wa muziki kutoka nchini kenya Jacob Obunga maarufu kama Oti...
Na Aisha Lungato
Ni Jumanne nyingine tena tunakutana nikiwa na matumaini makubwa kuwa uko poua mwanangu mwenyewe unayefuatili jarida hlili la Mwananchiscoop.
Siku kama ya leo ...
Habari, uko pouwa wewe nikwambie tu leo kwenye Nipe Dili bhana nakuletea jinsi ya kupika Kaimati au Kalimati za sukari, naamin utaipenda hii ungana name ili uweze kujifu...
Na Aisha Lungato
Eeeeeh bwana weeee waswahili wanasema ukistaajabu ya mussa utayaona ya filauni wewe ukiihangaika kutafta mahari kwenda kumuoa binti fulani wenzako wanafanya u...
Moja ya kati ya story inayobamba katika mitandao ya kijamii ni ya mwanadada Faiza Ally ambaye amefunguka na kusema kuwa bado anampenda mzazi mwenzake Joseph Mbilinyi maarufu k...
Msanii wa bongo fleva Gigy Money amefunguka na kusema kuwa watu wanaokwenda nje na kufanya surgery ni moja ya tatizo la kutjiamini na jinsi Mungu alivyokuumba.
Gigy ametoa kau...
Nikwambie tu zama zimebadilika sana kijana mwenzangu! wakati tulionao sasa kama ili uweze kutoboa lazima uangalie tofauti na elimu yako je unakitu gani cha ziada?.
It&rs...
MAN CRUSH MONDAY(MCM)
Name: Erick Mfanga University: University of Dar Es Salaam(UDSM) Position: Student Course: Bachelor of Arts in Economics Year of study: secon...
Msanii wa bongo fleva ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Nikki wa Pili amewataka watu kujikubali vile walivyo na kuhakikisha wanajiongeza kila siku kwa sababu hakuna mk...
Katika hali isiyo ya kawaida Rapa kutokea nchini Marekani Kanye West na mzazi mwenzake Kim Kardashian unambiwa ni kama wamevuka mipaka ya urafiki wao na uwenda kama wamerudian...
Siku zote juhudi, kupenda kitu unachokifanya, kujua kwanini unafanya hicho kitu, na wapi unatamani kufika basi nikwambie tu kuwa hizo ndiyo njia ambazo ukizitilia ...
Na Aisha Lungato
Mambo vipi mtu wangu wa nguvu, leo bwana katika urembo na fashion tunakuletea athari za kuvaa miwani za urembo maarufu kama miwani za jua, kwa siku za hi...
Baada ya kupata matatizo ya Ini na Kongosho hadi kupelekea kulazwa hospitalini, nguli wa muziki kutokea nchini Uganda, Jose Chameleone (42) amedokeza ujio wa wimbo wake wa kwa...