Gigy Money: wanaofanya surgery hawajiamini

Gigy Money: wanaofanya surgery hawajiamini

Msanii wa bongo fleva Gigy Money amefunguka na kusema kuwa watu wanaokwenda nje na kufanya surgery ni moja ya tatizo la kutjiamini na jinsi Mungu alivyokuumba.

Gigy ametoa kauli hiyo baada ya hivyo karibuni kuwepo na wimbi kubwa la wasanii akiwemo Mashalove, Muna Love na wengine kwenda njye kufanya surgery ya miili yao.

“Mimi siwezi kufanya Surgery nitajiaharibu, ukiwachunguza wote waliofanya surgery hawajiamini kwanza wanatoka usiku tu, mchana na jua hili hawatoki” alisema Gigy Money

Najua na wewe msomaji wetu unacho cha kutuambia katika hili basi usisite kutupia maoni yako katika ukurasa wetu wa Instagram ambao ni @mwananchiscoop.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags