Nikki wa Pili, Jikubali jinsi ulivyo

Nikki wa Pili, Jikubali jinsi ulivyo

Msanii wa bongo fleva ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Nikki wa Pili amewataka watu kujikubali vile walivyo na kuhakikisha wanajiongeza kila siku kwa sababu hakuna mkamilifu.

Niki wa Pili ameyasema hayo kupitia ukurasa wake wa Twitter ambapo aliandika “Jikubali ulivyo lakini pia jiongeze kila siku…kwa sababu sisi sio wakamilifu mengi tunayoyataka maishani yana tutaka tujiongeze, tubadilike na wakati mwingine tuzikane baadhi ya tabia n matendo yetu,”

Hata hivyo kauli hiyo ya Nikki imewaibuka mashabiki wake ambao wengi wamempongeza kwa kazi nzuri anayoendelea kuifanya katika wilaya ya Kisarawe na kumtaka azongeze juhudi.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags