Nyimbo za Otile Brown zafutwa Youtube

Nyimbo za Otile Brown zafutwa Youtube

Na Aisha Lungato

I hope uko good mwanangu sana, leo bwana kwenye gumzo mitandaoni waswahili wanasema kimeumaa, staa wa muziki kutoka nchini kenya Jacob Obunga maarufu kama Otile Brown video za nyimbo zake zimeondolewa zote kwenye akaunti yake ya youtube

Otile alikuwa anatamba na vibao vyake vingi kama vile Dusuma, suchkindlove, chaguo la moyo wangu na Aiyana ni video ambazo zinawatazamaji wengi zaidi kwenye mtandao wa youtube nchini kenya

Mpka sasa haijafahamika chanzo na sababu za kufutwa kwa nyimbo hizo ila inasemekana zimeondolewa na alieziapload video hizo za muziki.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags