Kama umezoea kuacha chakula katika migahawa unayokwenda huku waandaaji na wahudumu wakichukulia jambo la kawaida, lakini hii ni tofauti kwa mgahawa mmoja kutoka Las Angeles, M...
Msemo wa msanii mkongwe wa Singeli Msaga Sumu, kuwa kila msanii wa nyimbo za aina nyingine ipo siku atakuja kuimba Singeli, umeanza kuonekana.Baada ya wasanii Zuchu, Jux, Diam...
Mwanamuziki wa singeli na Bongo Fleva nchini D Voice amewaomba waandaji wa tuzo za muziki nchini kuongeza vipengele kutokana na muziki wa singeli kukua.Kupitia ukurasa wake wa...
Mwimbaji wa muziki wa Bongo Fleva, Juma Jux amesema katika vitu ambavyo hajawahi kujutia ni uamuzi wa kumuoa Priscilla Ajoke Ojo na kufunguka kuwa ana furaha ya kuwa na mke sa...
Baada ya ukimya mrefu, hatimaye Chioma Avril Rowland, mke wa staa wa muziki kutoka Nigeria, Davido, amerudi tena kwenye mitandao ya kijamii.Chioma alionekana tena Instagram Ag...
Elizabeth Edward na Harrieth MakwetaSafari ya siku 19,154 za maisha ya mwanahabari Sharon Sauwa imehitimishwa leo kufuatia maziko yake yaliyofanyika katika Makaburi ya familia...
Genghis Khan, alizaliwa Temüjin mwaka 1162 nchini Mongolia, alikuwa kiongozi shupavu wa kijeshi na mjenzi wa dola kubwa zaidi duniani. Akifariki dunia mwaka 1227, lakini ...
Mbunifu chipukizi kutoka Nigeria, Samuel Chinecherem Ezeh, mwenye umri wa miaka 27 ameweka rekodi ya kutengeneza kanzu yenye mikono mirefu zaidi dunaini ikiwa na urefu wa mita...
Waswahili wanasema mtoto wa nyoka ni nyoka na hili limejidhihirisha kwa mtoto wa mastaa Beyoncé na Jay-Z, Blue Ivy Carter ambaye ameonyesha ukubwa wake akiwa na umri wa...
Unafahamu kuwa Michael Jackson alitumia mapigo ya moyo kama mdundo kwenye wimbo ‘Smooth Criminal’ uliotoka mwaka 1987 ndani ya albamu ya Bad.Inaelezwa kuwa kwa msa...
Rapa wa Marekani, Kendrick Lamar ameweka rekodi nyingine kwenye muziki baada ya nyimbo zake zote kufikisha wasikilizaji bilioni 50 kwenye jukwaa la Spotify. Rekodi hiyo inamfa...
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ipo katika hatua za mwishoni kuufanya muziki wa singeli kuingia kwenye orodha ya urithi wa dunia.Hayo yameelezwa na Naibu Katibu ...
Katika maisha ya kila siku, kuna mambo madogo yanayoweza kuleta tofauti kubwa katika jinsi tunavyojisikia na jinsi tunavyoonekana mbele ya wengine. Moja ya mambo hayo ni kunuk...