07
Mavokali anavyoiishi ndoto ya baba yake
Na Masoud KofiiMiongoni mwa wasanii wenye vipaji vya kuimba muziki ambavyo Tanzania imebarikiwa ni pamoja na Mavokali ambaye amekuwa akifanya muziki kwa namna ya tofauti. Benj...
04
Diamond ajitosa anga za kina Bill Gates
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' amewekawazi kuwa ndoto yake kubwa kwa sasa ni kuwa tajiri namba moja duniani huku akiweka ahadi ya kuwa mtan...
28
Ndoto ya Lebron James kucheza na mwanaye yatimia
Gwiji wa mpira wa Kikapu wa Marekani, LeBron James anatarajiwa kuwa mchezaji wa kwanza kucheza ‘timu’ moja na mwanawe wa kwanza, Bronny James.Mpango huo umewezekan...
15
Chino: nimejipata naweza kufanya chochote kwa pesa zangu
Mkali wa muziki wa amapiano, Issaya Mtambo 'Chino Kidd' ambaye sasa anafanya vizuri na wimbo wa Binadamu amesema licha ya changamoto ya ushindani kwenye sanaa amejipata anawez...
08
Matukio ya kupotea waandishi wa habari, Yalivyozima ndoto ya mwigizaji John
Na Aisha Charles Wakizungumziwa waigizaji wa Bongo movie wanaokosha mashabiki kwa kuvaa uhusika kwenye kazi zao za uigizaji ni ngu...
09
Luisa atimiza ndoto ya kutembea nchi zote duniani
Bibi wa miaka 79 anayefahamika kwa jina la Luisa Yu mzaliwa wa Ufilipino,ametimiza ndoto yake ya kutembelea nchi zote duniani kama alivyokuwa akitamani.Bibi huyo amekuwa na ta...
14
Ifahamu kazi ya uwazi uliyopo kwenye mfuniko wa peni
Wapo baadhi ya watu ambao wakati wa kutumia peni hupendelea iwe  na kifuniko  chake, huku sababu kubwa ya kutaka kiwepo wanadai peni inakuwa nzito hivyo inawapa urah...
02
Rushaynah hana mpango wa kuolewa kwa sasa
Aliyekuwa mke wa Haji Manara, Rushaynah ameeleza kuwa kwa sasa hayupo tayari kuolewa na mwanaume yeyote yule. Rushaynah ameyaeleza hayo baada ya shabiki kumtakia kheri kwenye ...
26
Asake amkumbuka MohBad
Mwanamuziki kutoka nchini #Nigeria #Asake, ameibua hisia kwa mashabiki katika tamasha lake baada ya kutanguliza video na picha mbalimbali za marehemu #Mohbad aliyefariki Septe...
26
Kocha Klopp atimiza ndoto ya shabiki
‘Kocha’ wa ‘klabu’ ya #Liverpool, #JurgenKlopp ametimiza ndoto ya shabiki wa ‘timu’ hiyo raia wa #Ireland kwa kumualika kwenye viwanja vya ...
06
Offset agawa nguo na Internet bure
Mwanamuziki kutoka nchini #Marekani, #Offset ameweka heshima nyumbani kwao Atlanta baada ya kushirikiana na mfuko wa Ann Cephus kwa kuwapatia maelfu ya watu vitu ikiwemo nguo ...
11
Rema atimiza ndoto yake ampata Ice Spice
Baada ya mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, Rema kueleza ndoto yake ya kuendelea kufanya ‘kolabo’ na ma-star mbalimbali kutoka Marekani, hatimaye ndoto yake ya kwa...
01
Rayvanny aumia plan yake kutofanikiwa
Mwanamuziki anayedaiwa kusifika kuwa na ubunifu mkubwa akiwa jukwaani #Rayvanny kwa masikitiko makubwa aliyokuwa nayo kupoteza show aliyokuwa anataka kuonyesha Mbeya kwa kupat...
23
Beyonce atimiza ndoto ya shabiki mwenye ulemavu, aliyekosa nafasi kwenye ndege
Shabiki wa Beyonce mwenye ugonjwa wa kupooza hatimaye amefanikiwa kutimiza ndoto ya kumuona msanii huyo kwa mara ya kwanza baada y...

Latest Post