02
Mashabiki: Cardi B kudai talaka sio akili zake ni mimba
Usiku wa jana Agosti 1, ‘rapa’ wa Marekani Cardi B kupitia ukurasa wake wa Instagram ali-share picha na kutangaza kuwa anatarajia kupata mtoto wake wa tatu, jambo ...
07
Ashitakiwa kwa kumuua mkewe kisa bili ya hospitali
Mwanaume mmoja kutoka nchini Marekani aliyefahamika kwa jina la Ronnie Wiggs ameshitakiwa kwa kosa la kumuua mkewe akiwa Hospitali baada ya kushindwa kulipa ‘bili’...
05
Mkongwe wa Pop Uingereza atabiri kifo chake
Mkongwe wa nyimbo za Pop nchini Uingereza, Spandau Ballet Martin Kemp (62) amedai kuwa amebakiza miaka 10 ya kuishi baada ya kuteseka na uvimbe kwenye ubongo. Kwamujibu wa Tov...
01
Lamar amjibu Drake
Baada ya ukimya wa wiki kadhaa ‘rapa’ kutoka nchini Marekani Kendrick Lamar amerudi tena mjini akiwa na ngoma mpya ambayo ameitoa kwa ajili ya kumjibu Drake. Ngoma...
19
Diamond aitolea uvivu Ziiki
Kwa mara nyingine tena Kampuni ya Usambazaji Muziki ya Ziiki Media, inaingia kwenye mgogoro na msanii wa Bongo Fleva, awamu hii Diamond ametoa tuhuma dhidi yao akidai kuwa Zii...
15
Avuruga mipango ya wapendanao siku ya Valentine
Mwanaume mmoja ambaye hajafahamika jina lake kutoka nchini China amefuvuruga mipango ya wapendanao katika sikukuu ya Valentine, Februari 14, baada ya kuwakataza kuketi pamoja ...
31
Kuondoka kwa Klopp, Benitez adai kuna kitu
‘Kocha’ wa zamani wa ‘klabu’ ya #Liverpool, #Rafa Benitez amedai kuwa kuna kitu nyuma ya uamuzi wa ‘kocha’ Jurgen Klopp kuondoka kwenye &ls...
24
Chris Brown awajia juu wanaohoji kukaa na Quavo
Mwanamuziki Chris Brown amewajia juu mashabiki ambao wamekuwa wakihoji kupitia mitandao ya kijamii baada ya kumuona akiwa amekaa pamoja na #Quavo katika onesho la ‘Fashi...
14
Anayedai mchepuko wa beki wa Man City ajitokeza na mtoto
Anayedaiwa kuwa mchepuko wa mchezaji wa #MchesterCity, #KyleWalker, amejitokeza akiwa na mtoto anayedaiwa kuwa ni wa Walker, baada ya mke wa beki huyo #AnnieKilner kutangaza k...
08
Mtangazaji aomba radhi kwa kunyoosha kidole cha kati akiwa live
Mtangazaji wa Shirika la Habari #BBCnews aitwaye Maryam Moshiri ameomba radhi baada ya kuonekana akionesha kidole cha kati wakati akiwa live kwenye Tv, na kupelekea watu kutaf...
27
Kumbe Messi hajamsaliti mkewe
Familia na watu wakaribu wa mchezaji wa ‘klabu’ ya #InterMiami #LionelMessi, wamekanusha vikali taarifa inayodaiwa kuwa mchezaji huyo amemsaliti mke wake #Antonela...
14
Wateja waijia juu kampuni ya biscuit za Oreo
Wateja wa muda mrefu wa biskuti aina ya Oreo wameishutumu kampuni hiyo kwa kupunguza kiasi cha cream ambayo inawekwa katikati ya biscuit hizo. Shane Ransonet na mkewe waliishu...
16
Atishia kufyatua risasi baada ya kuuziwa chipsi zilizoungua
Mwanamke mmoja kutoka nchini Marekani aitwaye Breneida Gottschalk ameshitakiwa kwa kosa la kutishia kufyatua risasi baada ya kuuziwa chips zilizoungua. Mwanamke huyo mwenye um...
19
Baada ya Kayumba kudai amekua, Mama yake amtaka aoe
Mwanamuziki Kayumba atuma salamu kwa mama yake kuwa tayari amekuwa mtu mzima. Kayumba ame-share video ikimuonesha akiwa na mama yake na kuandika, "salamu ziende kwa mama mwana...

Latest Post