Chris Brown awajia juu wanaohoji kukaa na Quavo

Chris Brown awajia juu wanaohoji kukaa na Quavo

Mwanamuziki Chris Brown amewajia juu mashabiki ambao wamekuwa wakihoji kupitia mitandao ya kijamii baada ya kumuona akiwa amekaa pamoja na #Quavo katika onesho la ‘Fashion Week in Paris’ licha ya wawili hao kuwa na bifu kwa muda mrefu.

Kufuatiwa video zinazosambaa mitandaoni, #Brown aliamua kuwatolea povu mashabiki hao kwa kueleza hawezi kuchagua mtu wa kukaa naye huku akiwataka watu kuachana na mitazamo hasi.

Ikumbukwe kuwa toka mwaka 2017 ‘rapa’ Quavo na Chris Brown hawako kwenye maelewano mazuri baada ya Quavo kudaiwa kutoka kimapenzi na mpenzi wa zamani wa Brown aitwaye Karrueche Tran.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags