Masoud Kofii Mkali wa muziki kutokea Afrika Kusini Refiloe Maele 'Cassper Nyovest' ameonesha kutopendezwa na maamuzi yaliofanywa na kamati ya ugawaji wa tuzo za South Afrikcan...
Baada ya baadhi ya mashabiki kuhoji kupitia mitandao ya kijamii kuhusiana na kupungua mwili kwa mwanamuziki na mwigizaji kutoka Marekani Selena Gomez , hatimaye msanii huyo am...
Mwanamitindo Judith Peter anatarajia kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Miss Universe 2024 yanayotarajia kufanyika nchini Mexico.Mshindi huyo wa Miss Universe Tanzania...
Msanii wa hip-hop nchini Moni Centrozone ‘Malume’ amewavaa Wabongo kwa kutosapoti muziki wa nyumbani na badala yake kilipa kipaumbele suala la kiongozi wa Guinnea ...
Masoud Kofii Mchekeshaji maarufu nchini Masatu Ndaro 'Mjeshi Kikofia' ametangaza kuja na wimbo wake mpya utakao fahamika kama "Nimpe nini" aliowashirikisha G boy na Kontawa. N...
Watoto saba wa mkali wa Hip Hop kutoka Marekani ambaye kwa sasa yupo gerezani kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono, jana Novemba 4, wamesheherekea siku ya kuzaliwa kwa baba ya...
Mwanamuziki mkongwe nchini Rehema Chalamila ‘Ray C’ amewapongeza wasanii wa filamu nchini kwa umoja wao katika matatizo huku akiwataka wasanii wa Bongo Fleva kuiga...
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amesema marehemu Grace Mapunda 'Tesa' ni kati ya watu waliomsaidia miaka saba iliyopita wakati akijitafuta. Kamwe...
Mwili wa msanii, Grace Mapunda 'Tesa' umeagwa bila jeneza kufunguliwa. Kutoka na utaratibu uliowekwa na familia, ambayo ilitangaza kutofunua jeneza lenye mwili wa muigizaji hu...
Jumatatu nyeusi ya Novemba 4, 2024, hivi ndivyo unaweza kuiita kutokana na watu maarufu nchini kujitokeza katika Viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam wakiwa wamevalia...
Na Peter AkaroKwa miaka mingi tumekuwa tukisikiliza muziki wao na kutazama mitindo yao ya maisha lakini kuna mengi yametokea nyuma ya pazia hadi wasanii hao wa Bongo fleva kup...
Jide ni mwanamuziki bora wa kike chini ya Jangwa la Sahara. Na hii ni kwa miongo miwili iliyopita. Ubora wake ni kwa kila kitu. Albamu nyingi kuliko yeyote wa kike. Ana &lsquo...
Mwanamuziki Bongo Fleva nchini Maua Sama alia na watu ambao wameushusha wimbo wake wa ‘Kariakoo’ uliokuwa ukifanya vizuri katika mtandao wa Youtube.Maua muda mchac...
Mkongwe wa muziki wa HipHop hapa nchini Farid Kubanda maarufu kama Fid Q, anayetamba na ngoma kama Propaganda, Kibiriti, Ripoti za Mtaani, Sumu, Champion na nyingine nyingi , ...