Wasambazaji wa filamu ya ‘Squid Game’ iliyoweka rekodi zaidi toka kuachiwa kwake wameweka wazi kuwa msimu wa tatu wa filamu hiyo utakuwa wa mwisho kuachiwa.Kupitia...
Waendesha mashitaka wa serikali ya Marekani wameripotiwa kuleta waathiriwa wengine wawili wanaodaiwa kuwa na madai mapya dhidi ya ‘Rapa’ Diddy.Kwa mujibu wa tovuti...
Mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria, Tems ametoa taarifa ya kughairisha tamasha lake alilopanga kulifanya nchini Rwanda kufuatia machafuko yanayoendelea katika nchi ya Congo na R...
Mwigizaji na mwanamuziki Akon Thiam akiwa katika mahojiano na The Joe Budden Podcast ametoa maoni kuhusu mahusiano kwa kusema wanaume wanatakiwa kuwa na wanawake wengi.“...
Ikiwa imetimia miezi miwili tangu watu wa karibu wa mwanamuziki Justin Bieber kutangaza kuhofia afya ya akili ya msanii huyo, kutokana na mambo anayopitia na aliyopitia nyuma,...
Kati ya vitu vinavyohesabika kama mafanikio kwa mwanamuziki ni utoaji wa albamu. Kwani huonesha ukomavu wake kwenye gemu. Kawaida albamu, EP na mixtape zinatofautishwa kwa ida...
Mwanamitindo na mtangazaji wa Marekani, Amber Rose ameendelea kumuunga mkono Rais Donald Trump kwa kazi anayoifanya huku akidai kuwa wale waliokuwa wakimkosoa wakati wa uchagu...
Msanii wa Nigeria Asake ameibua mijadala mtandaoni baada ya kutangaza kuanzisha biashara ya Bangi iitwayo Giran Energy 5K mjini California, Marekani.Asake amethibitisha hilo b...
Mwigizaji Li Lianjie 'Jet Li' amewaacha mashabiki wake midomo wazi baada ya kufunguka kuwa amemkabidhi mke wake Nina Li Chi utajiri na fedha zake zote.Mwigizaji huyo mwenye ut...
Ni miaka saba sasa tangu Marioo aachie wimbo wake wa kwanza 'Dar Kugumu'(2018). Licha ya kuwa wakati msanii huyo anaingia kwenye game aliwakuta nyota wengine waking'ara kama v...
Mshtaki wa ASAP Rocky ambaye ni rafiki yake wa zamani ASAP Relli, anaripotiwa kutoa ushahidi siku ya jana Januari 28 kwa kuelezea mashtaka mawili ya unyanyasaji aliofanyiwa No...
Unafahamu kuwa mfanyabiashara na mwanamitandao Zari the Boss Lady, awali alikuwa mwanamuziki?Zari aliingia kwenye muziki mwaka 2007 ambapo alirekodi wimbo wake wa kwanza uitwa...
Mshukiwa wa mauaji ya mkali wa Hip Hop Marekani Tupac, Duane “Keefe D” Davis, ameripotiwa kuzichapa gerezani na mfungwa mwenzake katika gereza lililopo Kaunti ya C...
Mwanamuziki na produza kutoka Marekani, Bruno Mars ameweka historia kuwa msanii wa kwanza kufikisha wasikilizaji milioni 150 kila mwezi kupitia mtandao wa kuuza na kusikiliza ...