Haipiti muda mrefu unanunua charger mpya ya simu yako? Inawezekana kuna sehemu unakosea. Zingatia haya unapotaka kununua charger mpya.1.Aina ya plug (Port), Angalia kama charg...
Mwanamuziki wa Bongo Flava, Lulu Diva anayetamba na nyimbo kama Utamu, Ona, Amezoea, Nilegeze na nyingine, amesema ifikie mahala watu waache kumuuliza Wema Sepetu kuhusu kupat...
Baada ya mwanamuziki kutoka Marekani, Kanye West kurepotiwa kurudisha utajiri wake na kumfanya kuwa msanii anayeongoza kwa utajiri duniani, hayimaye Ye amewatarifu mashabiki z...
Msanii wa muziki wa Injili, nchini Goodluck Gozbert amezua gumzo katika mitandao ya kijamii, baada ya kuchoma moto gari alilopewa na mmoja wa Manabii waliopo nchini huku akida...
Kati ya picha zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii na kuwadatisha baadhi ya kina dada, tangu mwishoni mwa 2024 hadi sasa 2025 ni za mwigizaji Aaron Stone Pierre ambaye amei...
Mwigizaji na mchekeshaji kutoka Marekani Jamie Fox ameripotiwa kuachana na aliyekuwa mpenzi wake Alyce Huckstepp baada ya kudumu kwa mwaka mmoja kwenye uhusiano wao.Kwa mujibu...
Mwanamuziki wa Marekani, Kanye West ameuanza mwaka vizuri kwa kupata maokoto ya kutosha, hii ni baada ya kuripotiwa kuwa mwanamuziki tajiri zaidi duniani kwa mwaka 2025.Kwa mu...
Nyota anayetamba na ngoma ya ‘Not Like Us’ Kendrick Lamar ambaye atatumbuiza katika onyesho la Halftime la Super Bowl ameripotiwa kuwa hatofanya show hiyo mwenyewe...
Baada ya kuwepo na minong’ono mingi kuhusiana na ndoa ya aliyekuwa msemaji wa Yanga, Haji Marana na mwigizaji Zaylissa kutokufikisha mwaka, hatimaye wawili hao siku ya l...
Na Michael ANDERSON
Tanzania kuna tatizo la baadhi ya vijana kuchagua kazi. Tatizo hili ni kubwa hasa kwa vijana wakiume. Baadhi yao wanaogopa kufanya kazi fulani kama mama li...
Na Glorian Sulle
Ushawahi kujiuliza ni ipi faida ya toner kwenye ngozi? Basi leo acha tukufahamishe ni ipi kazi ya toner na faida nyingine katika kutunza ngozi.
Ili kufa...
Juisi ya beetroot ni nzuri kwa moyo wako ikiwa na faida zaidi ya moja. Antioxidants, vitamini, na madini katika juisi ya beet husaidia kupunguza uvimbe, kuboresha mzunguko wa ...
‘Material Girl’ ni wimbo wa mwanamuziki kutoka Uingereza Madonna ambao aliuachia rasmi Januari 23, 1985 wimbo huo ulimpatia mafanikio makubwa ya kimuziki pamoja na...