Ikiwa leo ni kumbukizi ya siku ya kuzaliwa aliyekuwa mwanamuziki wa Afrika Kusini marehemu Kiernan Forbes 'AKA', familia yake imeendelea kumkumbuka huku mama yake akishusha uj...
Mkali wa Hip-hop kutoka Marekani Snoop Dogg amefunguka siri ya kudumu kwenye ndoa yake na mkewe Shante Broadus kwa miaka 27.Akizungumza na tovuti ya People kwenye moja ya maho...
Mmiliki wa kampuni wa Microsoft na bilionea kutoka Marekani Bill Gates amefunguka kuwa anatamani kuwa Mnigeria kufuatiwa na kuzikubali ngoma za Afrobeat.“Kama nisingekuw...
Mwanamuziki na mfanyabiashara Selena Gomez ameshindwa kuvumilia na kuamua kumwaga machozi kuhusiana na uamuzi wa Rais wa Marekani Donald Trump kuwatimuwa wahamiaji.Kupitia uku...
Umewahi kufikiria kununua kilo ya nyama kwa laki nane? kama jibu ni hapana fahamu kuwa kuna baadhi ya nchi watu hununua kwa bei hiyo.Nchini Japan hutumia gharama hiyo kununua ...
Rapa Izzo Bizness kutokea Mbeya ana miaka zaidi ya 15 ndani ya Bongo Fleva, ametoa EP moja, The Capricorn (2021), huku akifanya shoo kubwa na miradi mikubwa kwenye tasnia...
Mkali wa Afrobeat nchini Nigeria Tiwa Savage ameeleza kujutia kuachana na mume wake na kuanzisha uhusiano na mwanaume mwingine.
Akizungumza kwenye mahojiano yake na moja ya ch...
Mwanamuziki Darassa 'Mr Burudani' ametangaza ujio wa albamu yake mpya itakayoitwa Take Away The Pain.Albamu hiyo ambayo inatarajia kuachiwa rasmi Februari 7, 2025 ikiwa imebeb...
Mwanamuziki wa Nigeria, Innocent Idibia '2Face' ametangaza kutengana na aliyekuwa mkewe Annie Idibia baada ya kudumu kwenye ndoa kwa miaka 13.Kupitia video inayosambaa kwenye ...
Kila nchi ina misingi na sheria zake. Mara nyingi jina na umaarufu wa mtu si sababu ya kuvunja sheria za nchi fulani. Licha ya kuwa na umaarufu mkubwa lakini wasanii hawa wali...
Msanii Whozu amejitoa kwenye record label ya Too Much Money na sasa ni msanii anayejitegemea.Kupitia ukurasa wake wa Instagram Whozu ameweka taarifa rasmi ya kuondoka kwenye l...
Watu wanadai kuwa kifo cha Tupac kilikuwa feki wakisema kuwa jamaa ilibidi afanye hivyo kwa sababu alikuwa anawindwa sana na maadui wakiwemo watu wake wa karibu pamoja na seri...
Miongoni mwa waigizaji wapya wanaotikisa kiwanda cha filamu nchini ni Abdulrazak ambaye anaonekana kwenye tamthilia ya Jua Kali.Licha ya kuonekana kwa mara ya kwanza akiigiza ...
Unakatiza zako kitaa. Iwe Mlimani City ama Sinzani kwenye maduka yao yale ya shumizi na vijora. Mara paap unakutana na karembo flan hivi amazing. Unaona kukaacha kapite hivi h...