Mkali wa Hip-Hop wa Marekani Sean “Diddy” Combs ameripotiwa kuhusishwa katika kesi mpya 120 za unyanyasaji wa kingono zinazotarajiwa kuwasilishwa mahakamani siku 3...
Mwanamitindo kutoka Korea Choi Soon-hwa mwenye miaka 80 ameripotiwa kushiriki katika mashindano ya Miss Universe 2024, huku akitajwa kuwa mshiriki mwenye umri mkubwa zaidi kat...
Baraza la Sanaa la Taifa 'BASATA' limelaani vikali tukio lililotokea Septemba 28, mkoani Mbeya la mwanamuziki Zuhura Othman Soud 'Zuchu' kurushiwa vitu jukwaani wakati akitumb...
Mwigizaji mkongwe na mfanyabiashara Wema Sepetu ni kama amejifunza kutokana na yaliyotokea mwaka 2023 katika kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwake, kwani mwaka huu amefanya sher...
Mwanamuziki anayetamba na wimbo ‘Komasava’ Diamondplatnumz anachuana na mastaa kutoka Nigeria katika tuzo za African Entertainment Awards USA (AEAUSA) zinazotaraji...
Katika kukuza sekta ya utalii Tanzania wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, wanaosoma sanaa ya ubunifu pamoja na wanafunzi wa kidato cha kwanza hadi cha sita kutoka shul...
Ndiyo hivyo, hata mbuyu hufika wakati ukaanguka. Ndivyo inavyotokea kwa watu wengi. Ilianza kwa O. J. Simpson, Bill Cosby, R Kelly na wengine wengi na hasa wakihusishwa n...
Awali ilizoeleka kuwa wasanii ndiyo hurusha vitu vyao kama nguo, saa na hata kofia kwa mashabiki kama zawadi, lakini pia kwa upande wa mashabiki hao hutumia vitu kama vile pes...
Kipa wa Simba, Moussa Camara amezungumzia ubora wa ukuta wa timu hiyo unaongozwa na Fondoh Che Malone na Abdulrazack Mohamed Hamza kama sehemu ya kufanya kwake vizuri katika m...
Ikiwa zimetimia siku 14 tangu mkali wa Hip Hop Sean Combs 'Diddy' kuishi katika kuta za gereza hatari zaidi Marekani la Metropolitan, kwa upande wa mastaa aliyowaacha uraini m...
MWANAHAWA ALLY ASTAAFU KUIMBA TAARABU RASMIMkongwe wa muziki wa Taarabu Mwanahawa Ally amestaafu kuimba muziki huo baada ya kuimba kwa zaidi ya miaka 58.Sherehe hiyo ya kumuag...
Mwigizaji wa Uingereza Dame Maggie Smith ambaye alijulikana zaidi kupitia mfululizo wa filamu ya ‘Harry Potter’ amefariki dunia asubuhi ya leo Septemba 27, 2024 ak...
Msanii wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki, maarufu kama Nay Wa Mitego, ameshitakiwa na Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) kwa makosa manne yanayohusiana na wimbo wake wa &lsquo...