04
Cardi B akabiliwa na kesi ya ukiukaji hakimiliki
Mwanamuziki wa Marekani Cardi B ameshitakiwa na wasanii wawili nchini humo kwa madai ya kutumia baadhi ya mistari yao katika wimbo wake wa ‘Enough’ bila kuwapa taa...
13
Watoto wamkutanisha Jennifer Lopez na Ben Affleck
Baada ya kuwepo kwa tetesi za mwanamuziki #JenniferLopezi na mumewe #BenAffeck kutengana na kuuza nyumba yao waliyokuwa wakiishi, hatimaye wawili hao wamekutana tena katika ma...
10
Jennifer Lopez na Ben wauza nyumba, Wadaiwa kuachana
Mwanamuziki wa Marekani Jennifer Lopez na mumewe Ben Affleck wanadaiwa kuachana baada ya kuuza nyumba yao waliyoijenga pamoja kwa dola 60 milioni. Kwa mujibu wa tovuti ya TMZ ...
05
Usher awakosha mashabiki kupiga show kwenye baridi kali
Mwanamuziki maarufu kutoka nchini Marekani, Usher Raymond amewafurahisha mashabiki wake kwa kuendelea na show licha ya hali mbaya ya hewa ya baridi kali iliyotokea akiwa katik...
18
Beyonce ampongeza kocha Dawn
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani #Beyonce amempongeza ‘kocha’ wa mpira wa kikapu #DawnStaley kwa kumpa maua baada ya ushindi wake mpya wa kuwa ‘kocha&rsquo...
05
Nyota wa ‘Beverly Hills’ aitamani talaka
Muigizaji kutoka nchini Marekani Kyle Richard anadai kuwa kutengana na mume wake kutawaathiri watoto wake kwa kiasi kikubwa ingawa itamfanya yeye kuwa na nguvu mpya. Kwa mujib...
18
Ariana Grande na mumewe kupeana talaka
Mwanamuziki maarufu kutoka nchini marekani, #ArianaGrande na mumewe #DaltonGomez, wameripotiwa kutengana tangu Januari, na muda wowote kuanzia sasa watapeana talaka rasmi. Kwa...

Latest Post