Beyonce ampongeza kocha Dawn

Beyonce ampongeza kocha Dawn

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani #Beyonce amempongeza ‘kocha’ wa mpira wa kikapu #DawnStaley kwa kumpa maua baada ya ushindi wake mpya wa kuwa ‘kocha’ bora katika ‘timu’ ya Carolina, #Gamecocks nchini humo.

Kwa mujibu wa TMZ News imeeleza kuwa Staley alionesha zawadi hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram iliyoambatana na wimbo wa mwanamuziki huyo wa ‘Irreplaceable’.

Ikumbukwe kuwa tangu kocha huyo aingie katika ‘timu’ hiyo mwaka 2008 ameshinda tuzo nne na mataji matatu huku tuzo mbili zikiwa ni za ‘kocha’ bora wa Kitaifa ambapo alipewa dola 22.4 milioni kama zawadi.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags