Ariana Grande na mumewe kupeana talaka

Ariana Grande na mumewe kupeana talaka

Mwanamuziki maarufu kutoka nchini marekani, #ArianaGrande na mumewe #DaltonGomez, wameripotiwa kutengana tangu Januari, na muda wowote kuanzia sasa watapeana talaka rasmi.

Kwa mujibu wa #TMZNews imeeleza kuwa mrembo #Ariana hakuwa amevaa pete yake ya ndoa kwa kipindi cha muda mrefu licha ya kuwa wanawasiliana na mwenza wake huyo mara kwa mara.

Ikumbukwe tu #ArianaGrand na #DaltonGomezi walifunga ndoa hiyo ya siri Mei 15, 2021 huko mjini #Calfornia

 

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags