09
Travis Scott kayakanyaga tena
Rapa Travis Scott ameripotiwa kukamatwa na polisi jijini Paris, Ufaransa kwa madai ya kumpiga mlinzi wake (Bodyguard).Kwa mujibu wa Dail Mail, Scott amekamatwa alfajiri ya leo...
06
Mastaa waliojitokeza kwenye tamasha la Michael Rubin
Mastaa katika Nyanja mbalimbali wamejitokeaza katika tamasha linalofanyika kila mwaka ambalo linaandaliwa na mfanyabiashara mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa Fanatics, juk...
21
Travis Scott aachiwa huru kwa dhamana
Mwanamuziki Travis Scott ameripotiwa kuachiwa huru kwa dhamana, baada ya kukamatwa siku ya Jana Alhamis asubuhi kwa kosa la ulevi kupindukia.Kwa mujibu wa tovuti ya Cnn, Travi...
22
Binti wa Eminem afunga ndoa
Binti wa ‘rapa’ kutoka nchini Marekani Eminem, Hailie Jade Scott, ameripotiwa kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Evan McClintock ndoa hiyo iliyofungwa wikie...
13
Jaji atupilia mbali kesi ya Drake
Baada ya kuhusishwa katika kesi ya vifo vya watu 10 vilivyotokea katika tamasha la Astroworld lililofanyika mwaka 2021, hatimaye Jaji Kristen Hawkins ametupilia mbali kesi hiy...
29
Tyla aipiku rekodi ya Burna Boy
Nyota wa muziki kutoka nchini Afrika Kusini ameripotiwa kuwa ndiye msanii anayefanya vizuri Barani Africa baada ya kupata waskilizaji wengi kupitia mtandao wa Spotify huku aki...
18
Tems, Travis kwenye album ya Tyla
Mwanamuziki kutoka South Africa, Tyla tayari ameachia listi ya nyimbo ambazo zipo kwenye albumu yake ambapo mwanamuziki Tems pamoja na Travis Scott wakiwa ni miongoni mwa wasa...
29
Mjengo wa Travis Scott upo hatarini
Mjengo wa kifahari wa ‘rapa’ kutoka nchini Marekani Travis Scott ulioko Brentwood jijini Los Angeles upo hatarini kuanguka, kutokana na ufa mkubwa ulioonekana kwen...
17
Tyla aachia remix ya water
Wimbo wa mwanamuziki kutoka nchini South Africa, #Tyla wa ‘water’ ambao ulionekana kwenye #Billboard Hot 100 mwezi uliopita, hatimaye umetolewa remix ambayo amemsh...
16
Travis Scott kurudi shule
‘Rapa’ kutoka nchini #Marekani #TravisScott ameweka wazi kuwa anataka kurudi shule. Kufuatia mahojiano yake na #GQ, #Travis ameeleza kuwa alitumia njia za mkato ku...
30
Majuto yafanya Kylie Jenner na Travis Scott wabadili jina la mtoto wao
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Travis Scott na mzazi mwenziye Kylie Jenner wamekubaliwa na mahakama kubadilisha jina la...
01
Wakili amtetea 50 Cent kwa kumjeruhi Mtangazaji na Mic
Baada ya tukio la mwanamuziki 50 Cent kumjeruhi Bryhana Monegain, mtangazaji wa kituo cha Redio cha Power 106, kwenye paji la uso kwa kumrushia microphone usoni, sasa wakili w...
08
Kanye West jukwaa moja na Travis Scott
Inasemekana kuwa Mwanamitindo na ‘rapa’ maarufu nchini Marekani amerudi tena jukwaani tangu show yake ya Rants Antisemitic ya mwaka 2022. TMZ news inaeleza kuwa Ka...
19
Travis Scott azuiliwa kufanya show Misri
Chama cha wanamuziki Misri siku ya jana kilipiga marufuku tamasha la mwanamuziki kutoka Marekani Travis Scott lililopangwa kufanyika Julai 28 kwenye piramidi za Giza. Kwa muji...

Latest Post