Mjengo wa Travis Scott upo hatarini

Mjengo wa Travis Scott upo hatarini

Mjengo wa kifahari wa ‘rapa’ kutoka nchini Marekani Travis Scott ulioko Brentwood jijini Los Angeles upo hatarini kuanguka, kutokana na ufa mkubwa ulioonekana kwenye mlima uliopo karibu ya mjengo huo.

Kwa mujibu wa TMZ imeeleza kuwa tayari wahusika wa idara ya majengo na usalama wamekagua eneo hilo, huku wakithibitisha kwamba eneo hilo halita poromoka lakini hiyo haimaanishi kuwa nyumba zizlizo karibu na mlima huo ziko salama.

Imeelezwa kuwa #Travis alitumia dola 23.5 milioni ambazo ni sawa na tsh 60 bilioni katika kununua nyumba hiyo.
.
.
#mwananchiscoop
#burudikanasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags