Wimbo wa mwanamuziki kutoka nchini South Africa, #Tyla wa ‘water’ ambao ulionekana kwenye #Billboard Hot 100 mwezi uliopita, hatimaye umetolewa remix ambayo amemshirikisha ‘rapa’ kutoka #Marekani #TravisScott.
‘Water’ni wimbo wa kwanza kutoka kwa #Tyla uliompa mafanikio makubwa duniani kote ambapo original video hiyo mpaka kufikia sasa huko mjini #YouTube inawatazamani zaidi ya milioni 45

Leave a Reply