Marilyn vos Savant (78) mwandishi na mtaalamu wa kujibu maswali kwa ufasaha kutoka Marekani anatajwa kuwa ndiye mwanamke mwenye akili zaidi duniani kutokana na uwezo wake wa k...
Mwanamuziki wa Uganda Jose Chameleone leo Februari 19,2025 anatarajia kufanyiwa upasuaji wa kongosho nchini Marekani katika Hospitali ya Allina Health Mercy iliyopo Coon Rapid...
Nyumba maarufu iliyopo katika kitongoji cha Winnetka, Illinois Chicago ambayo ilitumika kuigizia filamu ya ‘Home Alone’ ya mwaka 1990 inimeuzwa rasmi.Nyumba hiyo i...
Mwigizaji kutoka Marekani Will Smith amedokeza ujio wa kurudishwa kwa filamu ya zamani ya ‘The Matrix’ akiweka wazi kuchukua nafasi ya Neo ambaye alikuwa ni muhusi...
Mwanamke mmoja kutoka Canada mwenye umri wa miaka 60 aitwaye DonnaJean Wilde, ameweka rekodi ya dunia kwa kupiga push-up nyingi zaidi ndani ya saa moja.Kwa mujibu wa kitabu ch...
Mtoto wa mwanamuziki R. Kelly, Joanne Kelly amepanga kuachia filamu fupi (Documentary) itayoeleza matendo ya unyanyasaji yaliyokuwa yakifanywa na baba yake.Kupitia filamu hiyo...
Mwanamitindo kutoka Uingereza, Naomi Campbell amepigwa marufuku kuwa mdhamini mkuu wa Shirika la misaada la ‘Fashion For Releaf’ baada ya kugundulika kuwa amekuwa ...
Mwendelezo wa filamu maarufu ya ‘28 Days Later’ inayotarajiwa kutoka mwaka 2025 imeripotiwa kurekodiwa kwa kutumia simu ya Iphone 15 jambo ambalo limefanya mashabi...
Staa wa Bongo Fleva, Jay Melody ni miongoni mwa wasanii waliofanya vizuri zaidi katikati kipindi cha miaka miwili iliyopita, hiyo ni baada ya ujio wake mpya wa tangu Januari 2...
Mwanamke aitwaye Maria Branyas Morera kutoka Hispania ambaye alikua akishikiria rekodi ya dunia ya ‘Guinness World Records’ kuwa binadamu mzee zaidi amefariki akiw...
Msanii wa Bongofleva, Bongo Movies na mjasiriamali, Zuwema Mohammed 'Shilole', amesema atafunga ndoa na mpenzi wake wa sasa muda si mrefu ujao, ikiwa ni ndoa yake ya nne tangu...
‘Rapa’ Blueface ahukumiwa kifungo cha miaka minne jela, baada ya kukutwa na hatia ya kumpiga mlinzi wa hoteli mwaka 2012 huko North Hollywood.TMZ iliripoti kuwa me...