05
Zingatia haya unapochagua miwani ya urembo
  Urembo wa miwani umekuwa ukipendwa na watu wengi sana na mara nyingi urembo huo uleta muonekano wa kitajiri kwa wavaaji. Kutokana na hilo unaponunua miwani ya urembo, k...
26
META kuzindua miwani itayofanya shughuli za kwenye simu
Kampuni ya Meta ipo mbioni kuja na miwani mpya yenye teknolojia ya hali ya juu ambayo inatajwa kuwa na uwezo wa kuunganisha ulimwengu wa kidigitali.Miwani hiyo iliyopewa jina ...
27
Miwani zenye saini ya Diddy zasitishwa kuuzwa
Kampuni ya America's Best Contacts & Eyeglasses imeripotiwa kusitisha kuuza fremu za miwani zenye saini ya Diddy kutokana na kuhusishwa kwenye kesi kadhaa za unyanyasaji w...
16
Miwani kwa Tiwa siyo fashion, ni matatizo
Baada ya baadhi ya mashabiki kudadisi kuhusiana na uvaaji wa miwani kwa mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Tiwa Savage, hatimaye mwanamuziki huyo ametoa sababu ya kwanini huvaa...
15
Bobak azindua miwani inayotambua bei ya bidhaa
Aliyekuwa kiongozi wa kampuni ya #Apple, Bobak Tavangar, ambaye kwasasa ni CEO wa Brilliant Labs amezindua miwani inayoweza kutafsiri lugha, kutambua unachokitazama na kukuwez...
12
Apple kuzindua miwani itayotumika kama kompyuta, tv
Kampuni ya Apple, imetangaza bidhaa yake mpya iitwayo ‘VisionPro’ ambayo inamuonekano wa miwani, ambayo inauwezo wa kutumika kama Kompyuta, kutazama movie, kusoma ...
15
Miwani ya Meta yenye uwezo wa kuona na kusikia
CEO wa Meta Mark Zuckerberg akionesha uwezo wa miwani inayotumia akili bandia (AI) katika kumsaidia kazi mbalimbali. Miwani hii inafahamika kwa jina la Ray-Ban Meta, ambayo Ma...
04
Mvulana aitaka Apple ibadili emoji iliyovaa miwani kama yake
Mvulana mwenye umri wa miaka kumi aitwaye Teddy kutoka Peppard, Oxfordshire, ametuma ombi kwa kampuni ya Apple akiitaka kubadili emoji iliyovaa miwani inayofanana na yake aina...
01
Madhara ya kuvaa Miwani ya urembo
Na Aisha Lungato Mambo vipi mtu wangu wa nguvu, leo bwana katika urembo na fashion tunakuletea athari za kuvaa miwani za urembo maarufu kama miwani za jua, kwa siku za hi...

Latest Post