Apple kuzindua miwani itayotumika kama kompyuta, tv

Apple kuzindua miwani itayotumika kama kompyuta, tv

Kampuni ya Apple, imetangaza bidhaa yake mpya iitwayo ‘VisionPro’ ambayo inamuonekano wa miwani, ambayo inauwezo wa kutumika kama Kompyuta, kutazama movie, kusoma vitabu, kuperuzi mitandaoni nk. Bidhaa hiyo inatarajiwa kuingia sokoni rasmi Februari 2, 2024.

‘Vision Pro’ inakurahisishia wewe mtumiaji kutotembea na mizigo kama Kompyuta, simu, au kuwa na Tv ndani kwa sababu vyote unaweza kuviunganisha kupitia miwani hiyo inayouzwa dola 3,499 ambayo ni zaidi ya tsh 8 milioni, bei hiyo ni kwa maduka ya Apple nchini Marekani.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags