20
Filamu Ya 28 Days Later yarekodiwa kwa kutumia Iphone 15
Mwendelezo wa filamu maarufu ya ‘28 Days Later’ inayotarajiwa kutoka mwaka 2025 imeripotiwa kurekodiwa kwa kutumia simu ya Iphone 15 jambo ambalo limefanya mashabi...
20
Wakili wa Serikali afichua mawasiliano ya Diddy na wanaomtuhumu
Ni siku nyingine tena madhila yakiwa yanaendelea kumuandama nguli wa muziki wa Hip-Hop duniani Sean ‘ Diddy’ Combs, ambapo upande wa mashtaka jana Septemba 19 umef...
31
Trela ya Moana 2 yaweka rekodi
Trela ya animation ‘Moana 2’ imeweka rekodi ya kutazamwa na zaidi ya watu milioni 178 katika saa 24 tangu kuachiwa kwake na kuifanya kuwa trela ya kihistoria ambay...
06
Mkali wa Yellowstone afariki dunia
Baada ya muigizaji kutoka nchini Marekani, Cole Brings Plenty (27) kuripotiwa kutoweka siku chache baada ya kutuhumiwa kwa kesi unyanyasaji na sasa polisi nchini humo wameripo...
29
Nyota wa mchezo wa ‘Ice-Hockey’ afariki uwanjani
Mchezaji wa kulipwa wa mchezo wa ‘Ice-hockey’ kutokea #Marekani #AdamJohnson mwenye umri wa miaka 29, amefariki dunia jana usiku kwa ajali ya kukatwa shingo na fim...
28
Aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza aangukia kwenye utangazaji
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson ameibuka kwenye uandishi wa habari na atafanya kazi katika kituo cha televisheni cha GB News kilichopo jijini London.Kwa mujib...
04
The Rock amnunulia nyumba mpiganaji wa UFC
Muigizaji mashuhuri nchini Marekani Dwayne Johnson maarufu kama The Rock amemnunulia nyumba kama zawadi mpiganaji wa UFC, Themba Gorimbo jijini Miami baada ya kuguswa na stori...
13
Kampuni ya Johnson & Johnson yashtakiwa Kenya
Shirika moja la kutetea haki za binadamu kutoka nchini Kenya limeishtaki shirika la kimataifa la Marekani Johnson & Johnson juu ya kuuzia wananchi wao poda zisizo na ubora...
24
Boris Johnson ajiondoa kwenye kinyang’anyiro cha kuwania uwaziri mkuu
Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Boris Johnson, amesema hatawania nafasi ya kuwa mkuu wa chama cha Conservative nchini Uingereza...

Latest Post