Mkali wa Yellowstone afariki dunia

Mkali wa Yellowstone afariki dunia

Baada ya muigizaji kutoka nchini Marekani, Cole Brings Plenty (27) kuripotiwa kutoweka siku chache baada ya kutuhumiwa kwa kesi unyanyasaji na sasa polisi nchini humo wameripotiwa kuwa muigizaji huyo amekutwa amefariki dunia

Kwa mujibu wa Ofisi za Mkuu wa Wilaya katika jimbo la Johnson ilitoa taarifa hiyo katika vyombo vya habari kwa kueleza kuwa mwili wa Cole ulikutwa katika eneo la mashamba Kansas jana Ijumaa April 5.

Brings Plenty alipata umaarufu kupitia filamu ya ‘1923 Yellowstone’ ambapo kufuatia na talanta aliyonayo na kujitoa kwakwe katika filamu hiyo kulipelekea kutambulika rasmi katika tasnia ya burudani.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags