18
Mbappe avunjika pua, Hatarini kukosa mechi zilizosalia
Staa wa Ufaransa na Real Madrid, Kylian Mbappe anaweza kukosa ‘mechi’ zilizosalia za michuano ya Euro 2024, baada ya kufanyiwa upasuaji wa pua utakaomweka nje kwa ...
29
Suge: Diddy yupo hatarini
Mkurugenzi wa zamani wa ‘lebo’ ya Death Row Records, Suge Knight, amefunguka mengi kuhusiana na tuhuma zinazo mkabili mkali wa Hip-Hop Diddy kwa kueleza kuwa Combo...
20
Utafiti: Wanaolalia tumbo hatarini kukosa pumzi
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Dk Tony Nalda, kutoka katika kituo cha Scoliosis unaeleza kuwa wanaolalia tumbo hatarini kuathiri upumuaji kutokana na kukandamiza Diaphrag...
29
Mjengo wa Travis Scott upo hatarini
Mjengo wa kifahari wa ‘rapa’ kutoka nchini Marekani Travis Scott ulioko Brentwood jijini Los Angeles upo hatarini kuanguka, kutokana na ufa mkubwa ulioonekana kwen...
25
Wanaochangia earphone hatarini kupata fangasi za masikio
Dar es Salaam. Kutokana na maendeleo ya teknolojia, kumekuwa na uzalishaji wa vitu vingi vyenye kurahisisha maisha ambavyo awali havikuwepo, huku wataalamu wa masuala hayo wak...
04
Meta yashutumiwa kuwaweka watoto hatarini
Mdhibiti mkuu wa taarifa binafsi na faragha nchini Marekani ameishutumu kampuni ya Meta inayomiliki mitandao ya Facebook na Instagram kutoweka udhibiti mzuri kwa ajili ya kuwa...
25
Wala chipsi hatarini kupata changamoto za afya ya akili
Kama tunavyojua chipsi ni moja ya vyakula maarufu, vinavyopatikana fastafasta na vinavyopendelewa Zaidi katika nchi mbalimbali duniani ikiwemo Tanzania lakini habari mpya na m...
08
Man. City hatarini kuondolewa katika ligi ikibainika wanahatia
Timu ya mpira wa miguu ya Manchester City ipo hatarini kukatwa pointi au kuondolewa katika ligi ikiwa itakutwa na hatia kwenye tuhuma za kuvunja sheria wanazodaiwa kuzifanya m...
18
Kula kitimoto chanzo cha shinikizo la damu
NYAMA ya nguruwe maarufu 'Kitimoto' imekuwa ikipendwa sana na watu wa mijini na vijijini licha ya kwamba bei yake ni ghali kuliko ya ng’ombe. Kwenye baa mbalimbali za ji...

Latest Post