Meta yashutumiwa kuwaweka watoto hatarini

Meta yashutumiwa kuwaweka watoto hatarini

Mdhibiti mkuu wa taarifa binafsi na faragha nchini Marekani ameishutumu kampuni ya Meta inayomiliki mitandao ya Facebook na Instagram kutoweka udhibiti mzuri kwa ajili ya kuwalinda watoto wanaotumia mitandao hiyo.

Huku tume ya Biashara ya Shirikisho FTC imesema Meta inapaswa kupigwa marufuku kutengeneza pesa kutokana na maudhui ya taarifa za watoto.

Aidha kampuni hiyo ya Meta imejibu kuwa maelezo hayo ya mamlaka ni ya kisiasa, hivyo imewalaumu kwa kutoa kauli bila kushirikisha watuhumiwa.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags