Man. City hatarini kuondolewa katika ligi ikibainika wanahatia

Man. City hatarini kuondolewa katika ligi ikibainika wanahatia

Timu ya mpira wa miguu ya Manchester City ipo hatarini kukatwa pointi au kuondolewa katika ligi ikiwa itakutwa na hatia kwenye tuhuma za kuvunja sheria wanazodaiwa kuzifanya mara 10 ndani ya kipindi cha misimu 10 ya nyuma

Kufuatiwa kesi hiyo timu imejinoa kisawa sawa na kutafuta kumpa kazi Mwanasheria Lord Pannick anaelipwa million 14 kwa saa, ili awatetee katika tuhuma zinazowakabili kuhusu uvunjaji wa Sheria za Matumizi ya Fedha kwenye Premier League.

Pannick anayelipwa Pauni 5,000 kwa saa ndiye aliyeisaidia Man. City kushinda katika kesi ya kufungiwa kutosajili kwa muda wa miaka miwili, adhabu iliyotolewa na Shirikisho la Soka Ulaya ( UEFA) mwaka 2020






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags