01
Mfahamu mwanamke wa kwanza kugundua taulo za kike (Pads)
Maisha ya sasa siyo sawa na ya zamani, wakati mwaka 1920 wanawake walikuwa wakipata wakati mgumu unapokuja wakati wa siku zao za mzunguko za hedhi, huku baadhi yao wakitumia v...
27
Utafiti: Paka hufurahi zaidi kuishi na binadamu wema
Kwa mujibu wa watafiti katika maabara ya Human-Animal Interaction (HAI) ya Chuo Kikuu cha Oregon State cha nchini Marekani webaini kuwa paka wanafurahia maisha zaidi wakiishi ...
09
Utafiti: Kumchunga sana mtoto kunampunguzia muda wa kuishi
Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Shirikisho cha São Carlos na Chuo Kikuu cha London, kwa watu 1,000 waliozaliwa katika miaka ya 1950 na 1960, umegungua kuwa tabia y...
09
Mfahamu mwanamke anayepiga miluzi kwa kutumia pua
Lulu Lotus mzaliwa wa Mississauga nchini Canada ambaye anashikiria rekodi ya kuwa binadamu anayeweza kutumia pua kupiga miluzi inaoendana na sauti za nyimbo mbalimbali, anaend...
15
Maajabu ya raia wa Bosnia, Adai ngozi yake ina sumaku
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni kutana na Muhibija Buljubasic raia wa Bosnia wakati akizungumza na tovuti ya Sarajovotimes, amesema kuwa ana nishati ndani ya mwili wak...
05
Offset na Cardi B wafuta urafiki
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Offset na mkewe Cardi B wamezua gumzo mitandaoni baada ya wawili hao kufuta urafiki kwenye mtandao wa Instagram. Baadhi ya mashabiki ...
02
Utafiti, Paka wanamatendo yanayo fanana na Binadamu
Utafiti kutoka katika Chuo Kikuu cha California Los, Angeles nchini Marekani (UCLA) umeeleza kuwa paka wana zaidi ya mionekano 200 ambayo wanyama hao hutumia kuwasiliana wao k...
29
Nyota wa Hannah Montana aswekwa ndani, Adaiwa kuiba chipsi
Nyota wa zamani wa 'Hannah Montana',  Mitchel Musso  ambaye alicheza "Oliver Oken" akamatwa Texas kwa tuhuma zinazohusiana na wizi wa mfuko wa chipsi akiwa amelewa. ...
03
Ukigundua mwenza wako ana ujauzito fanya mambo haya
Aiseeee nikukumbushe tu masuala machache ambayo unaweza kuyafanya mara tu utakapogundua kuwa mwenza wako anaujauzito basi hakikisha unapita kwa uaminifu mkubwa sana kwenye nji...
31
Mfahamu binadamu wa kwanza kugundua simu
Mnamo mwaka 1876, tarehe 11, mwezi March, Bwana Alexander Graham Bell alifanikiwa kutengeneza simu ya kwanza kabisa. Alizaliwa mnamo mwezi March tarehe 3, mwaka 1847 na kufari...
18
Njia za kugundua fursa za kibiashara
Eenheee, niaje!! Mpambanaji na mtafutaji mwenzangu! Bila shaka huu ni wakati wakuifukuzia shilingi popote pale ilipo, usichoke endelea kupigania mkate wako wa kila siku. Wiki ...

Latest Post