Mnamo mwaka 1876, tarehe 11, mwezi March, Bwana Alexander Graham Bell alifanikiwa kutengeneza simu ya kwanza kabisa. Alizaliwa mnamo mwezi March tarehe 3, mwaka 1847 na kufariki dunia mwezi August tarehe 2, mwaka 1922.
Baba yake, babu yake na kaka yake wote walikua wakijihusisha na maswala ya namna ya uzungumzaji pamoja matamshi yanii (elocution and speech)
Wakati mkewe ndiye aliye mvutia na kumshawishi Alexander Graham Bell aweze kuzama ndani zaidi kwa kufanya uchunguzi katika matamshi na usikilizaji, baadae alikwenda zaidi kuchunguza ni jinsi gani vifaa vya kusikilizia sauti hufanya kazi hapo ndipo alipo weza kuibuka na simu ya kwanza yenye kufanya kazi.
Alizawadiwa tuzo iliyo fahamika kama first U.S patent mnamo mwaka 1847 pamoja na hayo alikataa kutumia simu kwa matumizi yake binafsi katika kipindi chake chote pamoja na kua alikuwa akiendelea na masomo.
Leave a Reply