Zaidi ya watu 1000 nchini Ujerumani siku ya Jana wamekusanyika katika maeneo mbalimbali kusherehekea kuhalalishwa kwa matumizi ya bangi nchini humo.
Licha ya ruhusa hiyo watum...
Kama inavyofahamika kuwa suala la ajira, limekuwa janga la Taifa, asilimia kubwa ya wahitimu wamekuwa wakilia nalo. Waswahili wanasema uoga wako ndiyo umasikini wako, na hili ...
Mitandao mitandao mitandao, nimeiiita mara tatu, watu wengi siku hizi wanatumia mitandao kama sehemu ya ku-post maudhui yasiyofaa na kufanya kuwa kilinge cha umbea na kufuatil...
Mchezaji wa zamani wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, David De Gea amepiga chini ofa ya mshahara wa pauni laki tano sawa na tsh 1.5 bilioni kwa wiki kutoka katika &l...
Muigizaji mkongwe wa #BongoMovie Wastara Juma amewataka watu watumie vizuri nafasi na fursa wanazo zipata, huku akidai kuwa kwenye maisha ni ngumu sana kupata nafasi ya pili.
...
Tanzania kupitia Wizara ya Utamaduni, Michezo na sanaa na Serikali ya Cuba wafanya makubaliano kushirikiana katika kuendeleza mchezo wa ngumi.
Ikiwemo mabondia wa Tanzan...
Serikali ya Canada imekanusha ripoti kuwa Wakenya sasa wanaweza kusafiri hadi nchini humo kutafuta nafasi za kazi.
Haya yanajiri kufuatia tangazo la Waziri wa Mambo ya Nje wa ...
Sekta ya Kilimo ni mhimili wa uchumi wa Tanzania na imekuwa ikichangia Pato la mkulima mmoja mmoja, kaya na Taifa kwa ujumla pia ni tegemeo la mapato ya fedha za ndani na za n...
Kampuni ya huduma za mziki mtandaoni ya Mdundo.com kwa mara ya kwanza katika msimu wa Ramadhani ulianza Aprili 1 hadi 30, imetoa fursa ya kipekee kwa waumini wa dini ya...
Ni ukweli uliyowazi kuwa dunia kwa sasa inakwenda kasi, na teknolojia inazidi kuimarika watu wanahabarika kupitia mitandao ya kijamii.
Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizo kus...