De Gea aikataa ofa ya Al Nassr

De Gea aikataa ofa ya Al Nassr

Mchezaji wa zamani wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, David De Gea amepiga chini ofa ya mshahara wa pauni laki tano sawa na tsh 1.5 bilioni kwa wiki kutoka katika ‘klabu’ ya #AlNassrFC ya nchini #SaudiArabia.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 33 raia wa nchini #Uhispania ambaye kwa sasa hana ‘timu’ tangu alipoondoka Man United ametupilia mbali fursa hiyo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post