13
Diamond, Mobetto, Azizi Ki Watajwa Matukio Yaliyobamba 2024
Zimesalia siku chache tu kabla ya kuumaliuza mwaka 2024 na kuukaribisha mwaka mpya 2025. Kwenye burudani kuna matukio mengi kama ilivyo kwenye tasnia nyingine kama michezo amb...
04
Gara B, Dokta Cheni wanavyobamba na nyimbo za wasanii wakongwe
Ukisikia cha kale dhahabu ndiyo hiki, kwa sasa kwenye sherehe kama vile harusi, 'Send Off' na 'Kitchen Party' siyo ajabu kusikia ngoma za zamani zikipigwa na wageni waalikwa w...
07
Ifahamu mitindo ya Afro inayobamba
Aisha Charles Hii ni special kwa ajili yako wewe msomaji wa magazine ya Mwananchi Scoop kama kawaida tumekutana tena katika segment ya Fashion ili kuweza kujua yale ambayo yat...
01
Hizi hapa Teknolojia zitakazobamba 2024
Dar es Salaam. Umewahi kuwaza kwamba ukuaji wa kasi wa teknolojia unaoshuhudiwa dunia ya leo, unazidi kugusa maisha yetu kadri siku zinavyokwenda? Inaelezwa lengo la kukua kwa...
17
Kinachoendelea kwa Kapteni aliyedondoka uwanjani
Nahodha wa ‘klabu’ ya #LutonTown, #TomLockyer ambaye alidondoka uwanjani jana kutoka na matatizo ya moyo wakati ‘timu’ yake inacheza dhidi ya ‘ti...
28
Suruali aina ya bwanga zinavyo bamba
It’s another weekend my lovely people kama kawaida yetu Mwananchi Scoop tumekuletea kapu letu la fashion ili uweze kujua mambo mbalimbali katika mitindo na urembo. Leo k...
19
Mtindo wa extension unavyobamba maharusi wengi
Leo katika segment yetu ya fashion tutaelezea jinsi ya kutengeza nywele natural kwa kutumia mtindo wa extension hasa kwa mabibi harusi.Urembo wa nywele ni moja kati ya jambo l...
07
Mchungaji atolewa WhatsApp kwa kufanya kolabo na mnenguaji
Mwimbaji wa nyimbo za injili mkazi wa Eldoret nchini Kenya, Mchungaji William Getumbe amejikuta katika mgogoro na watumishi wenzake, huku wakimtoa kwenye kundi (group) lao la ...
06
Vazi la kitenge linavyo endelea kubamba
Hellow!! Guys mambo zenu mimi najua ni wazima kama kawaida yetu sisi tupo kukusogezea yale yote yanayobamba katika mitaa ya fashion na urembo, kama wanavyosema waswahili jasir...
21
Ifahamu rangi inayobamba 2023
Mambo niaje fashionista na mpenda mitindo mwenzangu? Karibu kwenye uwanja wetu wa kujidai bwana wa suala ya mitupio na muonekano aisee. Wiki hii moja kwa moja tumekuletea rang...
26
Wasanii waliobamba kwenye harusi ya Wolper
Its Friday watu wangu wa nguvu, basi bwana weee, wiki hii kwenye fashion mambo ni moto, mambo ni firee watoto wa mjini wanasema hivyo. Yap ndani ya kipengele cha Fashion wiki ...
29
Ufahamu mtindo wa ‘Iro na Buba’ unavyobamba kwa wanawake
Eiwaaaah!! Mambo vipi? wapenzi wa fashion na wafuatiliaji wa magazine ya Mwananchi scoop kama ilivyo kawaida yetu hatujawahi kukua...
13
Mavazi ya usiku kwa mtu mnene na mwembamba
Haya haya kumekucha wajameni, sasa leo katika fashion tumekujia na jambo konki kabisa. Tutaangalia kuhusiana na mavazi mazuri ambayo yatakupendeza na kuonekana wa tofauti ukum...
07
Jumpsuit: Vazi la kike linalobamba kwa sasa nchini
Habari wewe kijana ambaye umekuwa ukifuatilia dondoo hii ya masuala mbalimbali ya fashion, ni siku nyingine tena tunakutana ili  kujuzana mambo mbalimbali kuhusiana ...

Latest Post