Hatimaye Jarida maarufu duniani la Billboard limekamilisha orodha ya wasanii bora 50 na kumtaja Beyonce kama msanii namba 1 wa karne ya 21.Licha ya kuwa Taylor Swift ni kinara...
Jarida la Forbes limetoa orodha ya wasanii bora wa hip-hop wa muda wote huku jina la Kendrick likitokea kama msanii wa pili kwenye orodha hiyo.Orodha hiyo ambayo ilikuwa imesh...
Wataalamu wa utafiti, mkakati na data ‘Statista’ wametoa orodha ya nchi zinazozalisha filamu huku nchi ya Tanzania ikishika namba nne kati ya nchi 10 barani Afrika...
Mixtape ya marehemu mkali wa Hip Hop kutoka Marekani Rich Homie Quan iitwayo ‘I Promise I Will Never Stop Going In’ imeripotiwa kushika namba moja kwenye mtandao w...
Mwanamuziki Ommy Dimpoz amewataka mashabiki na wadau mbalimbali kutomuita chawa endapo Diamond atapokuwa tajiri namba moja duniani.Kutokana na video ya Diamond iliyosambaa juz...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' amewekawazi kuwa ndoto yake kubwa kwa sasa ni kuwa tajiri namba moja duniani huku akiweka ahadi ya kuwa mtan...
Pisi Kali hanywi pombe kali wala ngumu. Anakunywa pombe laini tena zisizozidi chupa tatu kwa wikiendi tu. Siku za kawaida pisi kali hagusi pombe wala hana outing. Pisi kali ak...
Album ya mwanamuziki kutoka Afrika Kusini Tyla iitwayo ‘TYLA’ kwa mara ya kwanza imeshika namba moja kwenye chart za ‘Billboard World Album Chart’, huk...
Wimbo unaoendelea kuupiga mwingi katika platiforms mbalimbali wa mwanamuziki Beyonce, ‘Texasholdem’ umeshika namba moja katika chati za Billboard 100 kwa mara ya k...
Mwanamuziki wa bongo fleva, Ruta Bushoke amemtaja msanii wa kike, Zuhura Othoman 'Zuchu' kwamba alikuwa namba moja kwa kufanya kazi bora mwaka 2023.
Bushoke ametoa sabab...
Chama cha Soka cha Argentina (AFA) kimepanga kustaafisha 'jezi' namba 10 ya Lionel Messi ambayo awali ilikuwa ikivaliwa na Diego Maradona.
Mipango ya kuistaafisha 'jezi' hiyo ...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani, #IceSpice ameshika nafasi ya pili kuwa mwanamuziki aliye fuatiliwa sana na kutafutwa kupitia Google kwa mwaka 2023 nchini humo.
Goog...
Ikiwa una tatizo la kusahau 'kusevu' namba za simu ulizopigiwa, kisha unapata shida kuzipata fuata njia hii ili kuzirudisha utakapozihitaji.Ingia play store kisha pajua app ii...