Kwa mara ya kwanza Beyonce, namba moja Billboard hot 100

Kwa mara ya kwanza Beyonce, namba moja Billboard hot 100

Wimbo unaoendelea kuupiga mwingi katika platiforms mbalimbali wa mwanamuziki Beyonce, ‘Texasholdem’ umeshika namba moja katika chati za Billboard 100 kwa mara ya kwanza.

Aidha ukiachilia mbali wimbo huo kushika nafasi hiyo pia inakuwa ngoma ya kwanza kupata cheti cha ‘Gold’ kwa mwaka 2024 baada ya kuuza zaidi ya nakala 500k nchini Marekani.

Na hii itakuwa mara ya kwanza pia kwa Beyonce, ngoma yake kushika nafasi hiyo katika chati hizo maarufu, ambapo mpaka kufikia sasa ‘Texas hold em’ unazaidi ya wasikilizaji milioni 9, ikiwa ni wiki mbili tuu zimepita tangu kuachiwa kwake.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags