01
Hakimiliki inazingatiwa wasanii kurudia nyimbo za zamani
Na Peter Akaro Miaka ya hivi karibu imekuwa siyo jambo geni kusikia nyimbo mpya za Bongofleva zikiwa na vionjo vya nyimbo za kitambo, hilo limekuwa likitoa nafasi kwa nyimbo h...
28
Rema apokelewa kwa kishindo kwao
Waswahili wanasema nabii hakubaliki kwao lakini msemo huu umekuwa tofauti kwa mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria Rema ambaye amepokelewa kwa kishindo nyumbani kwao katika kijiji...
09
Tabu afunguka alivyorudia darasa mara tisa
Waswahili husema mcheza kwao hutunzwa, hivi ndivyo lafudhi ya Kimakonde ilivyobadili maisha ya Tabu Mtingita mzaliwa wa Mtwara kuwa miongoni mwa waigizaji mahiri nchini Tanzan...
16
Mr Ibu kuzikwa mwezi wa sita
Marehemu muigizaji kutoka nchini Nigeria John Okafor (62) maarufu kama Mr Ibu anatarajiwa kuzikwa Juni 28, 2024. Taarifa hiyo imetolewa na kaka mkubwa wa Mr Ibu, Sunday Okafor...
04
Sadio ajenga uwanja nyumbani kwao
Nyota wa ‘timu’ ya Taifa ya #Senegal, na ‘klabu’ ya #AlNassr #SadioMane, amejenga uwanja wa mpira wa miguu katika kijiji alichozaliwa cha Casamance, Ku...
05
Wakali wa kutupia ligi kuu bara
Baadhi ya mastaa wa soka wanapenda maisha ya bata nje ya uwanja, kununua ndinga kali, nyumba, na mambo mengine pia wapo wanaopenda kuvaa na kupendeza. Hawa hapa mastaa kumi wa...
20
Adele afunguka kuacha pombe
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, #Adele ameweka wazi kuwa kwasasa ameacha kunywa pombe, baada ya kupata madhara ya kuwa mlevi kupindukia. Kwa mujibu wa CNN News inaeleza ku...
17
Messi ashambuliwa mtandaoni kisa Pizza
Star wa ‘klabu’ ya #InterMiami #LionelMessi amejikuta akirushiwa maneno na mashabiki mtandaoni baada ya ku-post picha ya Pizza aliyokuwa anataka kuila. ‘Staa...
09
Mtu kwao, Mapokezi ya Rayvanny Mbeya sio kinyonge
Waswahili wanasema mcheza kwao hutuzwa, kauli hii imejidhihirisha kwa msanii wa bongo ‘fleva’ nchini Rayvanny baada ya kuonesha jinsi alivyopokelewa vizuri mkoani ...
13
Mapacha tisa waliozaliwa kwa wakati mmoja wamerejea salama nchini kwao
Mapacha tisa pekee duniani - watoto waliozaliwa kwa wakati mmoja - wamerejea salama nchini kwao Mali.Wazazi na watoto hao tisa wal...

Latest Post