Mtu kwao, Mapokezi ya Rayvanny Mbeya sio kinyonge

Mtu kwao, Mapokezi ya Rayvanny Mbeya sio kinyonge

Waswahili wanasema mcheza kwao hutuzwa, kauli hii imejidhihirisha kwa msanii wa bongo ‘fleva’ nchini Rayvanny baada ya kuonesha jinsi alivyopokelewa vizuri mkoani Mbeya.

Chui ameondoka na kijiji, kupitia video yake aliyo-post #Instagram ameambatanisha na ujumbe ukieleza namna ambavyo kipindi cha nyuma kabla hajawa maarufu alivyokuwa akitembea na kuimba maeneo mbalimbali Mbeya, huku akiwa na ndoto ya kuwa atatoboa kimuziki.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags