Adele afunguka kuacha pombe

Adele afunguka kuacha pombe

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, #Adele ameweka wazi kuwa kwasasa ameacha kunywa pombe, baada ya kupata madhara ya kuwa mlevi kupindukia.

Kwa mujibu wa CNN News inaeleza kuwa Adele ameweka wazi kuacha kunywa pombe miezi mitatu iliyopita baada ya kuwa mlevi kupindukia huku sababu ya kuwa hivyo akieleza kuwa ni msongo wa mawazo baada ya kuachana na mumewe Simon Konecki.

Ikumbukwe kuwa Adele na Simon walitangaza kutengana kwao mwaka 2019 na wana mtoto mmoja, aitwaye Angelo, ambaye alizaliwa mwaka 2012.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags