Kocha wa Manchester City Pep Guardiola ameachana na mke wake Cristina Serra ambaye wamekaa pamoja kwa miaka 30.Guardiola ambaye anapitia kipindi kigumu kwenye kikosi cha Manch...
Mtandao unaokubalika zaidi duniani kote wa WhatsApp umetangaza kuacha kufanya kazi katika simu za zamani za Android ambazo hazipati Updates za mfumo mpya unaofanyika kila mwak...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Anjella ameweka wazi kuwa kwa sasa anaacha kabisa kuimba nyimbo za Bongo Fleva huku akidai kuwa anarudi kumtumikoa Mungu.“Bye Bye Bongo...
Kama wewe ni mwajiriwa unayefikiria kuacha kazi, ni muhimu kujua kwamba hatua hiyo siyo tu kuhusu kutoa taarifa ya kuondoka, bali inahusisha kupanga kwa uangalifu ili kuendele...
Niaje niaje matajiri wangu, kama kawaida kila wiki tunakutana kwenye chimbo letu la Biashara ambapo tunafundishana mambo mbalimbali kuhusiana na biashara, ujasiriamali nk.
Na ...
Mwigizaji na mkurugenzi wa kampuni ya ‘Empire Lokoma’ Johari Chagula mapema wiki hii ameinua bendera ya Tanzania nchini Nigeria kwa kuondoka na tuzo mbili za The M...
Binti wa mfalme kutoka Dubai Princess Mahra bint Mohammed bin Rashid Al Maktoum, ameripotiwa kuzindua manukato yaitwayo ‘Divorce’ (Talaka) baada ya kuachana na mum...
Mwanamuziki wa Marekani Cardi B na mumewe Offset wameripotiwa kuonekana pamoja wakifurahia siku ya kuzaliwa ya mtoto wao siku chache zilizopita licha ya wawili hao kuwasilisha...
Msanii mkongwe wa Taarab nchini Tanzania, Mwanahawa Ally, ameamua kuacha kuimba kutokana na maradhi yanayomsumbua.Hayo yamebainishwa na Zamaradi Mketema wakati akizungum...
Mfanyabiashara Zari na mumewe Shakib wameripotiwa kugombana tena, hii ni baada ya mwanamuziki Diamond kutua Afrika Kusini kwa ajili ya kusheherekea siku ya kuzaliwa ya mtoto w...
Mwanamuziki kutoka Nigeria Ruger amedai kuwa anataka kuacha muziki ili aweze kuwa video king, hii ni baada ya kuonekana kwenye video ya wimbo kutoka katika kundi la Clean Band...
Moja ya stori ambazo zilishika vishwa vya habari vingi siku ya jana ni kuhusaiana na suala zima la mwanamuziki Snura Anton Mushi 'Snura' akitangaza kuachana na muziki, lakini ...
Tanzania imechaguliwa kuwa nchi ya kwanza Africa kufanya filamu na South Korea kwa ajili ya kuunganisha soko la filamu la Tanzania na Korea.Hayo yameelezwa kupitia ukurasa wa ...