Kwa zaidi ya miaka 10 Darassa amefanya muziki tofauti kabisa na rapa wenzake, uwezo wake wa kuchanganya vionjo na utunzi wa aina yake umefanya nyimbo zake kupendwa na watu wen...
Mwigizaji wa Hollywood Denzel Washington amebatizwa rasmi Desemba 21, 2024 katika Kanisa la Kelly Temple of God in Christ lililopo kitongoji cha Harlem jijini New York, Mareka...
Msanii wa filamu na mfanyabiashara Tausi Mdegela anasema kutokana na kimo chake kifupi, kuna baadhi ya watu katika jamii na mitandao wanaona hastahili kufanya baadhi ya vitu.H...
Kauli ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof Palamagamba Kabudi kuhusu kuwekeza nguvu kwenye muziki wa singeli imewakosha wasanii wa muziki huo huku wakimuomba ...
Mkali wa Hip-hop kutoka Marekani Diddy Combs ambaye amezuiliwa katika gereza la MDC Brooklyn, lililopo jijini New York ametajwa kuwa msanii aliyetafuta zaidi kwa mwaka 2024 kw...
Kama ilivyo kawaida kwa baadhi ya watu mashuhuri, kila ifikapo mwisho wa mwaka huachia orodha ya ngoma walizopenda kusikiliza kwa mwaka mzima. Aliyekuwa kiongozi wa chama cha ...
Na Masoud KofiiMiongoni mwa wasanii wenye vipaji vya kuimba muziki ambavyo Tanzania imebarikiwa ni pamoja na Mavokali ambaye amekuwa akifanya muziki kwa namna ya tofauti. Benj...
Na Michael Anderson
Punguza marafiki ambao ukiwaambia unataka kufanya kitu wanakujibu "utawezaaa?" punguza marafiki ambao kutwa wanataka mchafue meza bar.
Punguza marafi...
Baada ya Billboard kumtangaza Beyonce kama msanii wa kwanza wa Pop wa karne ya 21, Baba yake mzazi mzee Methew Knowles ameibuka na kumpongeza binti yake kwa hatua hiyo kubwaMa...
Na Asma HamisKuishi kwingi ndiyo kuona mengi msemo huu wa wahenga unajionesha katika kijiji cha Noiva do Cordeiro kilichopo nchini Brazil chenye watu 600.Kijiji hicho kinaripo...
Mwimbaji wa Bongo Fleva, Queen Darleen kwa kipindi cha takribani miaka 20 akiwa ndani ya tasnia hiyo, ana makubwa aliyoyafanya katika muziki wake kwa kiasi chake akitengeneza ...
Baada ya mwanasiasa na mwanamuziki wa hip-hop nchini, Joseph Haule maarufu ‘Professor Jay’ kurudi kwenye siasa kwa mara nyingine baada ya ukimya wa muda mrefu ulio...
Mauzauza, Ashua, Hakuna Kulala, raha na Wana ni baadhi ya nyimbo za mwanamuziki wa WCB Zuchu zilizomtambulisha kwenye gemu mwaka 2020 baada ya kutambulishwa kwenye lebo hiyo y...