25
Walimu waruhusiwa kuingia na bunduki shuleni
Wabunge wa jimbo la Tennessee nchini Marekani wamepitisha mswada wa kuwaruhusu walimu na wafanyikazi wengine wa shule kubeba bunduki shuleni siku ya Jumanne. Imeelezwa kuwa wa...
15
Manara: Sitaki tena mpira
Aliye kuwa msemaji  wa ‘klabu’ ya #Yanga Haji Sunday Manara amefunguka kuachana na masuala ya mpira na kutouzungumzia kabisa, akidai mpira umejaa uadui. Akizu...
22
Kipindupindu chauwa 10, Afrika kusini
Idara ya afya jimbo la Gauteng kutoka nchini Afrika Kusini siku ya jana Jumapili ilitangaza visa vipya 19 vya Kipindupindu ikiwa ni pamoja na vifo 10, katika mji wa Hamman-skr...
22
Waganga wa jadi wapelekwa kigoma
Serikali ya kijiji cha Sunukwa wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma imeshirikiana na wananchi wa kijiji hicho kwa kuchukua waganga wa jadi zaidi ya 10 kutoka mkoa wa Sumbawanga kwa ...
13
Vifo vya tetemeko la ardhi Uturuki na Syria vyafikia 36,000
Zoezi la uokoaji likikaribia mwisho idadi ya watu waliofariki kutokana na tetemeko la ardhi lililotokea Jumatatu iliyopita nchini Uturuki na Syria imeongezeka na kufikia zaidi...
22
Tetemeko la ardhi Indonesia vifo vyafika 160
Maafisa wa huduma za dharura nchini Indonesia wanaendelea kuitafuta miili zaidi ya watu kutoka kwenye vifusi vya nyumba na majengo yaliyoangushwa na tetemeko la ardhi lililosa...
06
Dawa 4 za kikohozi kutoka India zahusishwa na vifo vya watoto 66
Shirika la Afya Duniani (WHO) limechapisha tahadhari ya kimataifa kuhusiana na dawa nne za kikohozi zilizotengenezewa nchini India baada ya kuhusishwa na vifo vya watoto 66 nc...

Latest Post