08
Mtoto wa Lil Durk adaiwa kumpiga risasa baba yake wa kambo
Mtoto wa kiume wa rapa kutoka nchini Marekani, #LilDurk, Romeo (10) anadaiwa kumpiga risasi baba yake wa kambo, kwa ajili ya kumtetea mama yake wakati wa mzozo. Kwa mujibu wa ...
18
Mbappe arudishwa kambini, Kuvaa ‘maski’
Shirikisho la ‘soka’ la Ufaransa ‘FFF’ limethibitisha kurejea kambini kwa Nahodha na Mshambuliaji wa ‘timu’ ya taifa ya nchi hiyo Kylian Mb...
25
Mwigizaji wa nigeria, Amaechi afariki dunia
Ikiwa zimepita wiki tatu tangu kitokee kifo cha mwigizaji kutoka Nigeria Mr Ibu, sasa imeripotiwa kifo cha mwigizaji mwingine kutoka nchini humo anayefahamika kwa jina la Amae...
26
Watoto wa Mr Ibu waiba pesa za matibabu za baba yao
Onyeabuchi Okafor ambaye ni mtoto wa kiume wa muigizaji kutoka nchini Nigeria John Okafor, maarufu kama Mr Ibu na mtoto wa kike wa kuasili aitwaye Jasmine Okekeagwu, wamedakwa...
22
Mo Salah arudi kambini
Mchezaji wa ‘timu’ ya #Livepool na ’timu’ ya taifa #Misri #Mosalah amerudi kambi ya Liverpool baada ya kupata majeraha ya misuli ya paja kwenye mchezo ...
19
GSM atoa vifaa vya matibabu Ocean Road
Mdhamini wa ‘klabu ya Yanga Ghalib Said Mohamed (GSM) ametoa zawadi ya vifaa vya matibabu katika hospitali ya Ocean Road kama zawadi ya kusheherekea siku ya yake kumbuki...
29
Hamisa Mobetto aomba ushirikiano kusaidia watoto
Mrembo Hamisa Mobetto, ikiwa imepita siku moja tangu afike kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili kutoa msaada kwa watoto wanaopatiwa matibabu ya saratani, mwanadada huyo aomba w...
24
Yajue mambo matano muhimu kuhusu shinikizo la damu
Na Elizabeth Malaba Shinikizo la juu la damu ni moja ya magonjwa yasiyo ya kuambukiza lakini mtu anaweza  kupata kwa kurithi( genetic hereditary) yawezekana  katika ...
02
Anjella amefunguka sababu ya ukimya wake
Kumekuwa na minong’ono mingi kuhusiana na mwanamuziki wa bongo fleva Anjella kuwa kimya kwa muda mrefu bila kutoa nyimbo, mwanadada huyo ameeleza sababu ya ukumya wake b...
10
Watu wamiminika kuchangia matibabu ya Professor J
Huko mitandaoni kinachoendelea kwa sasa ni namna ambavyo watu wanahamasishana kutoa michango ya matibabu ya msanii wa hip hop Professor J ambaye kwa sasa amelazwa hospitali ya...

Latest Post