GSM atoa vifaa vya matibabu Ocean Road

GSM atoa vifaa vya matibabu Ocean Road

Mdhamini wa ‘klabu ya Yanga Ghalib Said Mohamed (GSM) ametoa zawadi ya vifaa vya matibabu katika hospitali ya Ocean Road kama zawadi ya kusheherekea siku ya yake kumbukizi ya kuzaliwa kwake.

Akiwa katika hafla iliyofanyika katika hospitali hiyo na kuhudhuliwa na viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Albert Chalamila, mfanyabiashara huyo ametoa vifaa vya matibabu kama sadaka kwa ajili ya siku ya kuzaliwa kwake.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags