Hamisa Mobetto aomba ushirikiano kusaidia watoto

Hamisa Mobetto aomba ushirikiano kusaidia watoto

Mrembo Hamisa Mobetto, ikiwa imepita siku moja tangu afike kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili kutoa msaada kwa watoto wanaopatiwa matibabu ya saratani, mwanadada huyo aomba watu kushirikiana kuchangia wototo hao.

Hamisa siku ya jana akishirikiana na mpenzi wake walifanikiwa kutoa misaada ikiwemo kiasi cha pesa, hivyo basi amedai kuwa kiwango cha matibabu kwa mtoto mmoja ni Shilingi 216,000, hivyo ameomba watu wajitokeze kutoa misaada ili kuweka tabasamu kwa watoto hao wanaopambana na ‘kansa’.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags