19
Wimbo wa Krismasi Jingle Bells ulianzia huku
Tunaweza kusema kila ifikapo Desemba, shamrashamra huwa nyingi kutokana na sikukuu ya Krismasi ambayo hufanyika duniani kote kila ifikapo tarehe 25 mwezi huo.Upekee wa mwezi h...
01
Mwanzo mwisho Kesi ya Young Thug mpaka kufikia hukumu
Ammar MasimbaRapa maarufu nchini Marekani kutokea jimbo la Georgia, Atalanta Jeffery Williams ambaye ni mmoja wa waanzilishi wa Lebo ya Muziki ya YSL ameruhusiwa kurudi nyumba...
24
Utafiti: Njaa inamfanya mtu achukue maamuzi magumu
Kwa mujibu wa utafiti kutoka kwa ‘Plos One’ umebaini kuwa njaa inaweza kumfanya binadamu kuchukua maamuzi magumu.  Utafiti huo pia ulionesha kwamba njaa haich...
15
Kaeda aishukuru TFF kwa tuzo, aahidi kuishangilia Yanga popote
Nyota wa zamani wa Yanga Princess ambaye kwa sasa anakipiga UTAH ya Marekani, Kaeda Wilson maarufu Mzungu, amesema ataendelea kuishangilia na kuishabiki timu hiyo hata kama yu...
10
Blueface ahukumiwa kifungo cha miaka minne jela
‘Rapa’ Blueface ahukumiwa kifungo cha miaka minne jela, baada ya kukutwa na hatia ya kumpiga mlinzi wa hoteli mwaka 2012 huko North Hollywood.TMZ iliripoti kuwa me...
13
Ayra Starr, Tems vinara Spotify
Wanamuziki maarufu wa Nigeria, Ayra Starr na Tems wametangazwa kuwa mwaka huu nyimbo zao ndio zinasikilizwa zaidi kutokea nchini humo kupita Jukwaa la Spotify. Inaelezwa kuwa ...
11
Lady Gaga alivyotinga vazi lililotengenezwa kwa nyama
Ubunifu ni kati ya kitu muhimu kwa wasanii kama njia ya kuwapa utambulisho na kuwafanya waendelee kujitengenezea utofauti. Ili kuwa na utofauti wapo waliowekeza ubunifu kwenye...
08
Wasanii Bongo walivyokwepa albamu na kugeukia EP
Utoaji wa albamu kwa wasanii ni moja ya kitu kinachotafsiriwa kama mafanikio yake kwenye kazi ya muziki. Licha ya kuwa albamu hutafsiriwa kwa upande huo, lakini kwa sasa wasan...
04
Amouta kuchukua mikoba ya Nabi AS FAR Rabat
‘Klabu’ ya AS FAR Rabat ya Morocco imefikia makubaliano ya kumteua mkufunzi, Hussein Amouta kuwa ‘kocha’ mkuu klabuni hapo kwa ajili ya kuchukua mikoba...
04
Diddy auza nyumba yake ya Los Angeles
Mfanyabiashara na mkali wa Hip-hop Marekani Diddy Combs ameripotiwa kuuza jumba lake la kifahari lililopo jijini Los Angles kwa dola milioni 70 ikiwa ni sawa na Sh 185.8 bilio...
03
Ray C awagawa wasanii chipukizi Bongo
Ikiwa imepita siku moja tangu mwanamuziki wa zamani wa Bongo Fleva ambaye kwa sasa anaishi jijini Paris, Ufaransa Rehema Chalamila ‘Ray C’ kuwataka wasanii wenye u...
27
Hakimi atoa msaada kwa watoto wenye uhitaji Arusha
Mchezaji wa ‘klabu’ ya PSG Ashraf Hakimi ambaye yupo Tanzania kwa ajili ya mapumziko na kutembelea vivutio mbali mbali vya utalii, kupitia taasisi yake ya ‘A...
27
Davido na Chioma wasepa Nigeria
Baada ya mwanamuziki Davido kufunga ndoa na mkewe Chioma siku ya Jumanne Juni 25, 2024 na kutiki mji kufuatia na sherehe yao kuzungumzia ndani na nje ya Afrika, wanandoa hao w...
26
Kehlani adai kukosa ‘madili’ kisa Palestina
Mwanamuziki kutoka Marekani, Ashley Parrish, ‘Kehlani’, ameweka wazi kuwa alipata hasara kwa kupoteza fursa za mikataba baada ya kutoa msaada kwa watu wa Palestina...

Latest Post