13
‘Royal Tour’ yatajwa kuimarisha biashara ya usafiri wa anga
Filamu ilionesha utamaduni na historia ya kipekee ya Tanzania imetajwa kuimarisha biashara ya anga kwa kufanikiwa kusajili ndege 3...
29
Marufuku kuingia bungeni na kaunda suti
Bunge nchini Kenya limepiga marufuku uvaaji wa suti iliyopewa jina la aliyekuwa Rais wa Zambia marehemu Kenneth Kaunda ndani ya jengo hilo. Spika wa Bunge, Moses Wetangula ame...
06
Sanamu la Nyerere kujengwa Ethiopia
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Dkt. Pindi Chana leo amewasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara kwa Mwaka 2023/24 Bungeni jijini Dodoma, ambapo moja y...
06
Serikali kupeleka muswada bungeni wa mabadiliko ya sheria ya ndoa
Serikali kupitia Wizara ya Katiba na Sheria imesema ina nia ya kupeleka muswada wa mabadiliko ya sheria ya ndoa ya mwaka1971 katika Bunge hili la Bajeti linaloendelea, ili kuw...
15
Afukuzwa bungeni kwa kuvaa suti yenye madoa ya hedhi
Seneta wa Kenya Gloria Orwoba  alifukuzwa bungeni baada ya kuhudhuria kikao akiwa amevalia suti nyeupe iliyokuwa na alama za rangi nyekundu (kuashiria hedhi) katika kampe...
11
Shujaa Majaliwa atinga bungeni
Majaliwa Jackson, kijana aliyewezesha kuokolewa kwa watu 24 katika ajali ya ndege ya Precision Air katika Ziwa Victoria, iliotokea Novemba 6 mwaka huu, leo amefika Bungeni jij...

Latest Post