27
Jinsi ya kuongeza thamani yako ukiwa chuoni
Na Michael Onesha Mtu wa kwanza kutambua na kuamini kuwa wewe ni wa thamani kubwa ni wewe mwenyewe. Rule namba moja ukiwa kama kijana wakike au wa kiume unatakiwa kujiona wa t...
19
Bifu la Kim na Taylor laanza upya
Album mpya ya mwanamuziki kutoka nchini Marekani, Taylor Swift iitwayo ‘The Tortured Poets Departmen’ imeripotiwa kuwa nyimbo moja ambayo imemuongelea mfanyabiasha...
02
Jinsi ya kupika futari ya mzinga wa nyuki kwa ajili ya biashara
Na Aisha Lungato   Ni matumaini yangu wazima wa afya, kama tulivyozungumza wiki iliyopita mwendo ni ule ule tunapeana ma-deal na tips za futari,  leo tumekuja na fut...
27
Mwanasheria wa P Diddy awaka matumizi ya nguvu kumkamata mteja wake
Uongozi wa P Diddy, umetoa taarifa juu ya msako uliofanywa Jumatatu, Machi 25 na  Mawakala wa Usalama wa Taifa kwenye nyumba ...
26
Harmonize ahamia kwenye ndondi
Mwanamuziki kwa wa Bongo Fleva nchini Harmonize amedai kuwa anataka kuionesha jamii kipaji chake kingine katika upande wa upiganaji (Ndondi). Kupitia ukurasa wake wa Instagram...
15
Mchezaji wa Urusi kwenda Jela miaka 24
Mchezaji wa ‘klabu’ ya #SpartakMoscow kutoka nchini Urusi, #QuincyPromes, amehukumiwa kwenda Gerezani miaka 6 baada ya kukutwa na hatia ya uuzaji wa dawa za kulevy...
31
Drake, Taylar, Adele, Tupac, Bieber ndiyo basi tena tiktok
Shirika la ‘Universal Music Group’ linalojihusisha na masuala ya haki milizi za wasanii limeamua kuondoa nyimbo zake katika mtandao wa kijamii wa TikTok baada ya k...
24
Manara akanusha kumpeleka Makabila polisi
Aliyekuwa msemaji wa #Yanga, Haji Manara amekanusha tetesi za mitandaoni kuhusiana na yeye kumpeleka msanii wa Singeli Dulla Makabila polisi. Akizungumza na Manaratv, Haji ame...
02
Huenda mbappe akakipiga timu moja na Mo Salah
Inadaiwa kuwa ‘Klabu’ ya #Liverpool huenda ikaibuka kidedea katika kuwania saini ya mchezaji kutoka ‘timu’ ya #PSG ya Ufaransa Kylian Mbappé. Kw...
14
T Touchez, Madee wakalia kuti kavu BASATA
Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limefungia wimbo wa mwanamuziki Madee alioachia siku ya jana tarehe 13 Disemba, kutokana na wimbo huo kukiuka maadili. Kwa mujibu wa barua il...
30
Netflix yaachia reality show ya Squid Game
Kampuni ya #Netflix imeachia rasmi Squid Game the Challenge ambalo ni onesho la shindano la uhalisia lililohamasishwa na Tamthilia ya #Kikorea ya #SquidGame. Ambapo washiriki ...
16
Travis Scott kurudi shule
‘Rapa’ kutoka nchini #Marekani #TravisScott ameweka wazi kuwa anataka kurudi shule. Kufuatia mahojiano yake na #GQ, #Travis ameeleza kuwa alitumia njia za mkato ku...
06
Namna ya kupika visheti vya sukari kwa ajili ya biashara
Na Aisha Lungato Novemba kama Novemba, niliwaambia siku hazigandi bwana, na tumebakiza mwezi mmoja tuu tumalize mwaka, haya ndugu yangu vacation unaenda na pesa gani bila ya k...
30
Mashabiki washambulia basi la wachezaji kwa mawe
‘Mechi’ kati ya ‘klabu’ ya #OlympiqueMarseille dhidi ya ‘klabu’ ya #OlympiqueLyon imeghairishwa baada ya basi la Lyon kushambuliwa kwa mawe...

Latest Post