16
Ahmedi Ally: Tuzo ya mashabiki bora haitakaa ofisi ya Simba
Afisa habari wa ‘Klabu’ ya #Simba, #AhmedAlly ameeleza kuwa Tuzo ya mashabiki bora wa #AFL haitakaa kwenye ofisi za ‘Klabu’ hiyo bali itakuwa ikitembea...
09
Mimi Mars hawezi kugombania mwanaume
Mwanamuziki na muigizaji nchini #MimiMars amedai kuwa hawezi kugombana mwanamke mwenzake kisa mwanaume niaibu kwake kwa jinsi alivyolelewa. Akizungumza na waandishi wa habari ...
07
Best Naso adai kufanyiwa uhuni kwenye muziki
Msanii wa #BongoFleva, #BestNaso adai kufanyiwa uhuni kwenye muziki baada ya kuachia video yake ya ‘Simpendi Mama’ kutoka kwenye EP yake ya ‘Top4 Story&rsquo...
05
Harmonize: Ukinifurahisha nakuchora tattoo, Ukinikasirisha naifuta
Mwanamuziki wa #BongoFleva, #Harmonize amedai kuwa mtu akimfurahisha anamchora tattoo na endapo akimkasirisha basi anafuta tattoo hiyo, Konde Boy ameyasema hayo baada kuonekan...
15
Manara: Sitaki tena mpira
Aliye kuwa msemaji  wa ‘klabu’ ya #Yanga Haji Sunday Manara amefunguka kuachana na masuala ya mpira na kutouzungumzia kabisa, akidai mpira umejaa uadui. Akizu...

Latest Post